song lyrics / Joel Lwaga / Sitabaki Kama Nilivyo lyrics  | FRen Français

Sitabaki Kama Nilivyo lyrics

Performer Joel Lwaga

Sitabaki Kama Nilivyo song lyrics by Joel Lwaga official

Sitabaki Kama Nilivyo is a song in Swahili

Maisha haya, ninapita tu
Hali hii ya sasa ni kwa muda tu
Ushindi wangu, U karibu nami
Mtetezi wangu, yu hai

Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo

Silalamiki, wala sikufuru
Najua ni darasa napitishwa
Imani yangu ipo kwenye kipimo
Najua nitapita tu

Sitamani za wengine wala sijilinganishi
Najua wakati wangu upo
Siogopeswhi na mapito ninayoyapitia
Namwamini yule aliyeruhusu nipite

Sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
Sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
Sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama)
Sitabaki kama nilivyo (hali hii ni ya muda)
Sitabaki kama nilivyo (hali hii hapa napita tu)
Sitabaki kama nilivyo (kuna mahali nakwenda, Eeeh sitabaki kama...)
Sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
Sitabaki kama nilivyo (nilivyo)

Mtetezi wangu yu hai ((yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Eeeh mtetezi wangu yu hai ((yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Hey mtetezi wangu yu hai ((yu hai)
Anaishi (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Sitabaki kama nilivyo (nilivyo)
Mtetezi wangu yu hai ((yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Hey mtetezi wako yu hai (yu hai)
Yu hai ((yu hai)
Yu hai (yu hai)
Kweli mtetezi wangu yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Sitabaki kama (nilivyo) (Sitabaki kama)

Sitabaki kama nilivyo (kweli nitashinda tu)
Sitabaki kama nilivyo (siumii na hali hii)
(Nafurahishwa na ile ijayo)
Sitabaki kama nilivyo (hey kama, sitabaki hivi)
Sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama)
Sitabaki kama nilivyo (giza huwa nene alfajiri)
Sitabaki kama nilivyo (asubuhi yangu yang'aa)
Sitabaki kama nilivyo (kweli nitainuka tu)
Sitabaki kama nilivyo (bwana yuko nami nilivyo)
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Sitabaki Kama Nilivyo lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the top of the cloud
2| symbol to the right of the trash
3| symbol at the bottom of the padlock
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid