paroles de chanson / Joel Lwaga parole / Sitabaki Kama Nilivyo lyrics  | ENin English

Paroles de Sitabaki Kama Nilivyo

Interprète Joel Lwaga

Paroles de la chanson Sitabaki Kama Nilivyo par Joel Lwaga lyrics officiel

Sitabaki Kama Nilivyo est une chanson en Swahili

Maisha haya, ninapita tu
Hali hii ya sasa ni kwa muda tu
Ushindi wangu, U karibu nami
Mtetezi wangu, yu hai

Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo

Silalamiki, wala sikufuru
Najua ni darasa napitishwa
Imani yangu ipo kwenye kipimo
Najua nitapita tu

Sitamani za wengine wala sijilinganishi
Najua wakati wangu upo
Siogopeswhi na mapito ninayoyapitia
Namwamini yule aliyeruhusu nipite

Sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
Sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
Sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama)
Sitabaki kama nilivyo (hali hii ni ya muda)
Sitabaki kama nilivyo (hali hii hapa napita tu)
Sitabaki kama nilivyo (kuna mahali nakwenda, Eeeh sitabaki kama...)
Sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
Sitabaki kama nilivyo (nilivyo)

Mtetezi wangu yu hai ((yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Eeeh mtetezi wangu yu hai ((yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Hey mtetezi wangu yu hai ((yu hai)
Anaishi (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Sitabaki kama nilivyo (nilivyo)
Mtetezi wangu yu hai ((yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Hey mtetezi wako yu hai (yu hai)
Yu hai ((yu hai)
Yu hai (yu hai)
Kweli mtetezi wangu yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Sitabaki kama (nilivyo) (Sitabaki kama)

Sitabaki kama nilivyo (kweli nitashinda tu)
Sitabaki kama nilivyo (siumii na hali hii)
(Nafurahishwa na ile ijayo)
Sitabaki kama nilivyo (hey kama, sitabaki hivi)
Sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama)
Sitabaki kama nilivyo (giza huwa nene alfajiri)
Sitabaki kama nilivyo (asubuhi yangu yang'aa)
Sitabaki kama nilivyo (kweli nitainuka tu)
Sitabaki kama nilivyo (bwana yuko nami nilivyo)
Droits parole : paroles officielles sous licence Lyricfind respectant le droit d'auteur.
Reproduction des paroles interdite sans autorisation.

Commentaires sur les paroles de Sitabaki Kama Nilivyo

Nom/Pseudo
Commentaire
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - Tous droits réservés. www.paroles-musique.com
Connexion membre

Se connecter ou créer un compte...

Mot de passe oublié ?
OU
CREER COMPTE
Sélectionnez dans l'ordre suivant :
1| symbole en bas du casque
2| symbole à gauche de l'appareil photo
3| symbole en bas du nuage
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid