song lyrics / Joel Lwaga / Hatima lyrics  | FRen Français

Hatima lyrics

Performers Joel LwagaPaul Clement

Hatima song lyrics by Joel Lwaga official

Hatima is a song in Swahili

Najua wengi mnajiuliza
Mungu Mbona hunioni
Nnayopitia ni makubwa
Mbona kama hayakushitui
Wengine mmekata tamaa umeacha hata kuomba
Umechora na mmpaka ikipita leo basi tena
Pengine umeanza kuwaza jinsi gani umuache Mungu
Labda Mungu ni wa wengine
Wengine tunajaza dunia tu

Ila ukweli ni kwamba anaona
Ameweka Hatima mbele kubwa
Hajataka uipate kwa kona
Usije kushindwa kumuona
Anaijali kesho yako njema
Dhiki ameifanya darasa
Kukukomaza na kukuandaa
Kuibeba Hatima kubwa

Mungu hailindi leo
Analinda Hatima

Jana imepita leo siku mpya
Kesho ndio future aliyokupa Mungu
Ujue Hatima ni ngazi maana kila siku tunapanda
Japo unaona haufiki ila kuna siku utafika
Huwa hatukui kutoka juu kwenda Chini
Ila tunakua kutoka chini kwenda juu
Maisha ni pole pole ukiwa na haraka utajikwaa ni muhimu sana Tuombe Mungu ailinde Hatima
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Hatima lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the left of the helmet
2| symbol at the bottom of the star
3| symbol to the right of the camera
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid