song lyrics / Joel Lwaga / #Unaweza lyrics  | FRen Français

#Unaweza lyrics

Performer Joel Lwaga

#Unaweza song lyrics by Joel Lwaga official

#Unaweza is a song in Swahili

Kyla gwa kumwanya
Kyala gwe gwamaka
Ubhaagilee eeh mmh

Unaweza unaweza haujawahi kushindwa
Unaweza Unaweza haujawahi kushindwa
(Unaweza) unaweza Unaweza haujawahi kushindwa
Yesu unaweza
Unaweza Unaweza haujawahi kushindwa
Baba Unaweza
Unaweza Unaweza haujawahi kushindwa
Mmmmh

Ndiwe ulie umba vyote kwa uwezo wako na kwa neno lako
Ndiwe ulie vilinda kwa io neema yako na kwa pendo lako
Ndiwe ulie umba vyote kwa uwezo wako na kwa neno lako ooh
Ndiwe unae vilinda kwa io neema yako na kwa pendo lako

Yesu unaweza
Unaweza Unaweza haujawahi kushindwa
(Bwana unaweza) Unaweza unaweza, haujawahi kushindwa
Baba unaweza
Unaweza unaweza, haujawahi kushindwa

Hakuna jambo ambalo ni gumu usilo liweza
Hakuna jambo ambalo ni gumu usilo liweza
Baba unaponya
Baba waokoa
Unaganga mioyo yetu baba
Baba wabarikii,
Baba wafarijii
Unaganga mioyo yetu baba
Watufanya washindi tunashinda katika wewe unaganga mioyo yetu baba
Watufanya washindi tunashinda katika wewe unaganga mioyo yetu baba

Heey unaweza
Unaweza Unaweza haujawahi kushindwa
Hata sasa unaweza
Unaweza Unaweza haujawahi kushindwa
Bwana unaweza kuinua
Unaweza Unaweza haujawahi kushindwa
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for #Unaweza lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the right of the star
2| symbol at the top of the smiley
3| symbol at the bottom of the camera
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid