song lyrics / Joel Lwaga / Wadumu Milele lyrics  | FRen Français

Wadumu Milele lyrics

Performer Joel Lwaga

Wadumu Milele song lyrics by Joel Lwaga official

Wadumu Milele is a song in Swahili

Msimamizi wa mipaka ya bahari
Utunzaye ghala ya mwua aaa
Waamua lives avita ya jua na mwezi
Upepo na mawimbi vyakujua aaa
Uketiye mahali pa siri
Patakatifu palipo ininukaaaha
Wautangaza mwisho mwanzoni
Hakuna usilolijuaaaaha
Nani wa kulinganishwa
Nawe Jehova mwenye nguvu
Ufalme wako ni wa zamani zote
Vizazi vyote

Miaka kwako sio umri (Miaka kwako sio umri)
Vizazi kwako if ukomo (Vizazi kwako si ukomo)
Miaka kwako sio umri (Miaka kwako sio umri)
Vizazi kwako if ukomo (Vizazi kwako si ukomooo)
Wadumu milele (Wadumu milele)
Wadumu milele (Wadumu milele)
Bwana wadumu milele (Wadumu milele)
Eeh wadumu milele (Wadumu milele)

Wewe bwana ni kama maji
Maji yenye kina kirefu
Maji yenye kina kirefu
Kamwe hayapigi kelele eeh
Ni kweli kuna mabwana wengi
Lakini wewe ni bwana wa mabwana
Ni kweli kuna miungi mingi
Lakini wewe ni mungu wa miuuunguuuuh
Siku kwako sio vipindi
Majira kwako sio ishara
Hufikiwi kwa mnara wa babeli
Jina lako ni ngome imaraaaaaaah

Nani wa kulinganishwa
Nawe Jehova mwenye nguvu
Ufalme wako ni wa zamani zote
Vizazi vyote
Nani wa kulinganishwa
Nawe Jehova mwenye nguvu
Ufalme wako ni wa zamani zote
Vizazi vyote

Miaka kwako sio umri (Miaka kwako sio umri)
Vizazi kwako if ukomo (Vizazi kwako si ukomo)
Miaka kwako sio umri (Miaka kwako sio umri)
Vizazi kwako if ukomo (Vizazi kwako si ukomooo)
Wadumu milele (Wadumu milele)
Wadumu milele (Wadumu milele)
Bwana wadumu milele (Wadumu milele)
Eeh wadumu milele (Wadumu milele)
Umejawa nazo siku nyingi (Wadumu milele)
Mwanzo na mwisho viko ndani yako (Wadumu milele)
Umeshiba siku na utajiri
Wadumu milele
Wadumu milele
Wadumu milele
Wadumu milele
Wadumu milele
Bwana wadumu milele
Wadumu milele
Wadumu milele
Wadumu Milele

Say y yeah (Yeah)
Yeah yeah
Say yeah (Yeah)
Say y yeah (Yeah)
Yeah yeah
Say yeah (Yeah)
Yeah yeah
Nani wa kulinganishawa nawe
Jehova
M mwenye nguvu
Ufalme wako wa milele yote bwanaaaa
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Wadumu Milele lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the top of the house
2| symbol to the left of magnifying glass
3| symbol to the left of the television
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid