song lyrics / Joel Lwaga / Mkono Wa Bwana lyrics  | FRen Français

Mkono Wa Bwana lyrics

Performers Joel LwagaRose Muhando

Mkono Wa Bwana song lyrics by Joel Lwaga official

Mkono Wa Bwana is a song in Swahili

Nimeuona mkono wa Bwana nimeuona

Ukiniinua eeeh Ukinivusha eeh
Ukinipigania katika magumu
Mkono wako Bwana umenilinda
Na mtego wa adui na Hila zao
Nilipochoka na kukata tamaa
Mkono wako umeniinua tena
Hivyo ninayo sababu ya kukiri kwamba
Si kwa nguvu na uweza ila Roho wa Bwana
Sina cha kujisifia wala kujigamba
Ni mkono wako Bwana umefanya Haya

Wenye maumivu
Yesu anajibu wacha nimsifu eeeh nimeuona
Sina wasiwasi tena ananipendaga sana kesho atatenda tena nimeuona
Ananikokota kokotaga
Mkononi ananishikaga
Kwenye mema ananiwekaga eeeh nimeuona
Ananichukua chukuaga mgongoni ananibebaga kwenye mema ananiwekaga eeeh nimeuona lololooooh

Nimeuona mkono wa Bwana nimeuona
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Mkono Wa Bwana lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the left of the eye
2| symbol to the right of the camera
3| symbol to the left of magnifying glass
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid