song lyrics / Joel Lwaga / Wewe Ni Mwema lyrics  | FRen Français

Wewe Ni Mwema lyrics

Performer Joel Lwaga

Wewe Ni Mwema song lyrics by Joel Lwaga official

Wewe Ni Mwema is a song in Swahili

Nikikaa nawaza ni mbali wewe Bwana ulikonitoa
ningekuwa wapi kama jicho lako Bwana lisingeniona
ulitazama unyonge wangu ukaja ukanitia nguvu
Nikikaa nawaza ni mbali wewe Bwana ulikonitoa
ningekuwa wapi kama jicho lako Bwana lisingeniona
ulitazama unyonge wangu ukaja ukanitia nguvu

Bwana nakupa vyote kila nilicho nacho kwangu
Bwana nakupa vyote kila nilicho nacho kwangu
Bwana nakupa vyote kila nilicho nacho kwangu
Bwana nakupa vyote kila nilicho nacho kwangu

We ni mwema, wewe ni mwema kwangu
We ni mwema, wewe ni mwema kwangu
We ni mwema, wewe ni mwema kwangu
We ni mwema, wewe ni mwema kwangu

Asubuhi mpya fadhili zako
Asubuhi mpya fadhili zako
Na jioni upendo wako
Na jioni upendo wako

Bwana nakupa vyote kila nilicho nacho kwangu
Bwana nakupa vyote kila nilicho nacho kwangu

We ni mwema, wewe ni mwema kwangu
We ni mwema, wewe ni mwema kwangu
We ni mwema, wewe ni mwema kwangu
We ni mwema, wewe ni mwema kwangu

Oooooh, wewe ni mwema kwangu
Oooooh, wewe ni mwema kwangu
Oooooh, wewe ni mwema kwangu
Oooooh, wewe ni mwema kwangu

Oooooh, wewe ni mwema kwangu
Oooooh, wewe ni mwema kwangu
Oooooh, wewe ni mwema kwangu
Oooooh, wewe ni mwema kwangu
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.
Writer: JOEL LWAGA

Comments for Wewe Ni Mwema lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the right of the smiley
2| symbol at the bottom of the cloud
3| symbol to the left of the clock
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid