song lyrics / Joel Lwaga / Mimi Ni Wa Juu lyrics  | FRen Français

Mimi Ni Wa Juu lyrics

Performer Joel Lwaga

Mimi Ni Wa Juu song lyrics by Joel Lwaga official

Mimi Ni Wa Juu is a song in Swahili

Kuna wakati wa giza
Mbele sioni najiuliza
Mbona kama hizi shida
Zimekawia kuisha

Katikati ya maswali
Nasikia sauti ndani
Imebeba ujasiri
Ikinitaka nikiri nikisema

Mimi ni wa juu, mimi ni wa juu
Mimi ni wa juu, juu sana
Mimi ni wa juu, mimi ni wa juu
Mimi ni wa juu, juu sana

Sitafsiriwi kwa haya, machozi na magumu
Mimi ni mshindi tu, kamusi ndiye Mungu
Haijalishi ni giza, Yeye ni nuru yangu
Nitashinda hii vita na yote yatakwisha

Ntasimama tena, ntainuka tena
Mimi ni wa juu tu, mimi ni wa juu tu
Ntasimama tena, ntainuka tena
Mimi ni wa juu tu, mimi ni wajuu tu

Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
Mimi ni wa juu, juu sana
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
Mimi ni wa juu, juu sana

Nawaza yaliyo (juu)
Nawaza yaliyo (juu)
Nawaza yaliyo (juu)
Juu sana

Nawaza yaliyo (juu)
Nawaza yaliyo (juu)
Nawaza yaliyo (juu)
Juu sana

Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
Mimi ni wa juu, juu sana
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
Mimi ni wa juu, juu sana

Sitafsiriwi kwa haya, machozi na magumu
Mimi ni mshindi tu, kamusi ndiye Mungu
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Mimi Ni Wa Juu lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the right of the smiley
2| symbol at the top of the helmet
3| symbol at the bottom of the calculator
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid