song lyrics / Joel Lwaga / Usipigane lyrics  | FRen Français

Usipigane lyrics

Performer Joel Lwaga

Usipigane song lyrics by Joel Lwaga official

Usipigane is a song in Swahili

Usipigane Vita ni Ya Bwana
Ukipigana anatulia, Ukitulia Anapigana

Acha kutarajia Ushindi Kwa Nguvu zako Mwenyewe
Vita ni ya Mungu mwache ye Atakupigania tu!
Acha kuhangaika na Wanadamu ili kuongeza jeshi lako
Hao ni wanadamu ni watu tu Watakuhuzunisha tu!

Eeeeeh Eeeeh Eeeeeeh!

Alimwambia Musa waambie Israel
Watulie waone wokovu wangu leo
Maana wamisri hawa wanaowaona leo Hawatawaona tena!
Yesu nae kajiita Bwana wa Sabato, Sabato maana yake Pumziko
Tabasamu katikati ya mapito
Ukimwamini Bwana

Usipigane Vita ni Ya Bwana
Ukipigana anatulia, Ukitulia Anapigana

Kuna yale ya wewe kufanya
Na kuna Yale ya Mungu kufanya
Usimsaidie yale ya kwake maana hautaweza!
Usitikiswe na uhalisia
Usiyumbishwe na Mazingira
Iwe unaona au huoni Ye anapigana!

Eeeeeh Eeeh Eeeeh!

Usiogope ile ripoti ya dakitari
Usiogope lile Deni la ile Benki
Usiogope ile Kesi Mahakamani
Anakupiganiaa!
Usiogope utavaa shela lako
Usiogope udogo wa kanisa lako
Usiogope maneno na Fitna zao
Vita ni ya Bwana

Usipigane Vita ni Ya Bwana
Ukipigana anatulia, Ukitulia Anapigana
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.
Writer: JOEL LWAGA

Comments for Usipigane lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the top of the clock
2| symbol to the right of the eye
3| symbol to the left of the star
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid