song lyrics / Joel Lwaga / Mifupani lyrics  | FRen Français

Mifupani lyrics

Performer Joel Lwaga

Mifupani song lyrics by Joel Lwaga official

Mifupani is a song in Swahili

Unipaye afya mifupani mwangu
ninakuamini ninakuamini
Nimekujua na nimekuona
Ninakuamini ninakuamini
Unipaye afya mifupani mwangu
ninakuamini ninakuamini
Nimekujua na nimekuona
Ninakuamini ninakuamini
Tumaini langu ni wewe tu ni wewe tu
Msaada wangu ni wewe tu ni wewe tu

Unipaye afya mifupani mwangu
ninakuamini ninakuamini
Nimekujua na nimekuona
Ninakuamini ninakuamini
Tumaini langu ni wewe tu ni wewe tu
Msaada wangu ni wewe tu ni wewe tu
Kimbilio langu ni wewe tu ni wewe tu
Mungu wangu ni wewe tu ni wewe tu


Japo machozi yanatiririka
ila acha yatoke yasafishe macho
ili nikuone wewe tu wewe tu wewe tu
Nikuone wewe tu
Nikujue wewe zaidi kupitia haya
Nikujue wewe zaidi wewe unipaye

Unipaye afya mifupani mwangu
ninakuamini ninakuamini
Nimekujua na nimekuona
Ninakuamini ninakuamini
Unipaye afya mifupani mwangu
ninakuamini ninakuamini
Nimekujua na nimekuona
Ninakuamini ninakuamini
Msaada wangu ni wewe tu ni wewe tu
Kimbilio langu ni wewe tu ni wewe tu
Tumaini langu ni wewe tu ni wewe tu
Msaada wangu ni wewe tu ni wewe tu
Mfariji wangu ni wewe tu ni wewe tu
Nitakuona wewe tu
Hata gizani nitakuona wewe tu
Wewe tu

Nimekujua na nimekuona
Ninakuamini ninakuamini
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.
Writer: JOEL LWAGA

Comments for Mifupani lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the right of the camera
2| symbol at the bottom of the eye
3| symbol at the top of the smiley
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid