song lyrics / Joel Lwaga / Inalipa lyrics  | FRen Français

Inalipa lyrics

Performer Joel Lwaga

Inalipa song lyrics by Joel Lwaga official

Inalipa is a song in Swahili

Zamani Sikueleweka na wengi
Hasa ndugu na rafiki wa karibu
Utani walidhania ni utani nilipowaeleza Yesu ndiye Jibu
Wengine wakanisanifu
Kwa Maswali ya kejeli na dharau
Kwamba Kama Yesu ndiye Jibu
Mbona maisha yangu yamejaa maswali
Ni kweli kwa wakati huo huenda walikuwa sahihi
Maana hali niliyokuwa nayo isingeweza kabisa kushawishi

Wengi walidhani napoteza muda
Wengi walidhani nimechanganyikiwa

Jamani Inalipa
kuwa na YESU
Mwenzenu Imelipa kuwa na YESU
Jamani Inalipa
Kuwa na YESU
Oneni Imelipa Kuwa na YESU

Mara Mia hapa Mara Mia Kule
Haikuwa Hadithi ya Bure
Amefidia hata na muda ule
Ulioliwa na Madumadu na nzige
Wako Wapi Tena Watesi Wangu
Wako wale walionidharau
Mko Wapi Tena watesi wangu
Njooni muonje wema wa Yesu wangu
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Inalipa lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the right of the heart
2| symbol at the top of the cross
3| symbol to the right of the cloud
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid