song lyrics / John Ambuli / Maisha Ni Mafupi Mno !!! lyrics  | FRen Français

Maisha Ni Mafupi Mno !!! lyrics

Performer John Ambuli

Maisha Ni Mafupi Mno !!! song lyrics by John Ambuli official

Maisha Ni Mafupi Mno !!! is a song in Swahili

Maisha ni mafupi mno

masaa ishirini na manne nna sikusaba kwa juma hayanitoshi

Miradi yangu inahitaji muda zaidi ya masaa ishirini na manne na siku saba za wiki

Nina mambo mengi yanayohitaji niyatimize maishani mwangu

SIna wakati wa kushiriki kwenye Umbeya na na mengine ya mtaani

Naepuka balaa hii mimi

Heri niutumie wakati wangu kwenye miradi itakayo nifaa maishani zaidi ya kuwekeana chuki na kisasi na majirani wangu

Maisha ni mafupi mno

sina wakati

Tahadhjarini ibilisi asiwa kwae
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Maisha Ni Mafupi Mno !!! lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the bottom of the envelope
2| symbol at the top of the television
3| symbol at the bottom of magnifying glass
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid