song lyrics / John Ambuli / Ufukara Umenizonga !!! lyrics  | FRen Français

Ufukara Umenizonga !!! lyrics

Performer John Ambuli

Ufukara Umenizonga !!! song lyrics by John Ambuli official

Ufukara Umenizonga !!! is a song in Swahili

Ufukara Umezonga

Shahada yangu kwenye somo la Uchumi haiwezi muniokoa

Nawaona wenzangu na fedha nyingi mkononi

Mimi nashinda pale kazini kila siku lakini pesa hazipo

Mwanzo nilidhani kwamba ilikua ni laana nkakimbia nyumbani nkashauriwe na wazee

Nkaeanda Kwa waganga kujaribu bahati yangu

Kiasi cha pesa alichoitisha Kikawa kikubwa ajabu

Watu wananiona nkiwa mwenda wazimu kumbe ni sababu ya ufukara

Ninapokutana na wao njiani huwa wananihepa wananitoroka

Huwa wanadhani kwamba nitawaomba pesa tena

Nimeshindwa kuwaeleza walimwengu kiini cha ufukara wangu

Watu wamenihepa wote hata wale tuliokua tukila vya dunia hii pamoja

Nimebaki mimi peke yangu na maisha yangu peke yake

Ufukara Umenifika kooni
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Ufukara Umenizonga !!! lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the left of the cloud
2| symbol to the right of the padlock
3| symbol at the top of the suitcase
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid