song lyrics / John Ambuli / Binadamu Wafanana !!! lyrics  | FRen Français

Binadamu Wafanana !!! lyrics

Performer John Ambuli

Binadamu Wafanana !!! song lyrics by John Ambuli official

Binadamu Wafanana !!! is a song in Swahili

Mekua vigumu Kuchagua marafiki wa kutembea nao

Wanadamu wote wamefanana kama vile punda milia hufanana

Wao huwa marafiki wakati wa shibe na furaha

Wakati amabo wanaweza kunufaika kutokana nawe

Wakati una shida ni wachache sana wanaoweza kukuvumilia na kukaa karibu nawe

Wao hubadilika ukashindwa kuwaelewa ikiwa ni wale mliokua marafiki nao

Huwa inakua vigumu kuamini kabisa kwamba ni wao

Imekua vigumu kuwatafautisha rafiki wa kweli na wasio wa kweli

rafiki akiondoka mwingine akiingia wanafanana taratibu muda ukipita

Yafaa mtu amfae mwenzake wakati wa shida awe na pesa asiwe na pesa hali iwe sawa
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Binadamu Wafanana !!! lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the left of the target
2| symbol to the right of the television
3| symbol to the left of the eye
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid