song lyrics / John Ambuli / Anaupenda Mchezo Wa Yoga Mno !!! lyrics  | FRen Français

Anaupenda Mchezo Wa Yoga Mno !!! lyrics

Performer John Ambuli

Anaupenda Mchezo Wa Yoga Mno !!! song lyrics by John Ambuli official

Anaupenda Mchezo Wa Yoga Mno !!! is a song in Swahili

Huyu jirani mgeni anashangaza Mno

Yeye Hupenda sana kufanya mazoezi ya kuiweka afaya yakumpa Afaya nzuri

Yeye hufanya mazoezi Usiku wote

Hata Ukiamka Saa tisa usika ,unampata akiwa kwenye shughuli

Wakati watu wako usingizini yeye angali macho

Unaupenda Mchezo Unaoitwa Yoga Muno

Jirani huyu anashangaza muno

Hawazi Kuhusu mambo mengine maishani

Yeye hushughulika kwa muda mfupi muno halafu akarudi kwe shughuli hiyo

Watu wana mila mbali mabali huko Uswahilini

Waswahili wengine huwa wanamuwazia kombo

Wanaona kama ni uchawi

Wangejuaje kwamba ni mchezo wa Yoga

Imekuwa Balaa HII
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Anaupenda Mchezo Wa Yoga Mno !!! lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the top of the smiley
2| symbol to the left of the heart
3| symbol to the left of the target
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid