paroles de chanson / John Ambuli parole / Anaupenda Mchezo Wa Yoga Mno !!! lyrics  | ENin English

Paroles de Anaupenda Mchezo Wa Yoga Mno !!!

Interprète John Ambuli

Paroles de la chanson Anaupenda Mchezo Wa Yoga Mno !!! par John Ambuli lyrics officiel

Anaupenda Mchezo Wa Yoga Mno !!! est une chanson en Swahili

Huyu jirani mgeni anashangaza Mno

Yeye Hupenda sana kufanya mazoezi ya kuiweka afaya yakumpa Afaya nzuri

Yeye hufanya mazoezi Usiku wote

Hata Ukiamka Saa tisa usika ,unampata akiwa kwenye shughuli

Wakati watu wako usingizini yeye angali macho

Unaupenda Mchezo Unaoitwa Yoga Muno

Jirani huyu anashangaza muno

Hawazi Kuhusu mambo mengine maishani

Yeye hushughulika kwa muda mfupi muno halafu akarudi kwe shughuli hiyo

Watu wana mila mbali mabali huko Uswahilini

Waswahili wengine huwa wanamuwazia kombo

Wanaona kama ni uchawi

Wangejuaje kwamba ni mchezo wa Yoga

Imekuwa Balaa HII
Droits parole : paroles officielles sous licence Lyricfind respectant le droit d'auteur.
Reproduction des paroles interdite sans autorisation.

Commentaires sur les paroles de Anaupenda Mchezo Wa Yoga Mno !!!

Nom/Pseudo
Commentaire
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - Tous droits réservés. www.paroles-musique.com
Connexion membre

Se connecter ou créer un compte...

Mot de passe oublié ?
OU
CREER COMPTE
Sélectionnez dans l'ordre suivant :
1| symbole à gauche du coeur
2| symbole à droite de la loupe
3| symbole en haut de l'appareil photo
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid