paroles de chanson / John Ambuli parole / Kitendawili Cha Sportpesa !!! lyrics  | ENin English

Paroles de Kitendawili Cha Sportpesa !!!

Interprète John Ambuli

Paroles de la chanson Kitendawili Cha Sportpesa !!! par John Ambuli lyrics officiel

Kitendawili Cha Sportpesa !!! est une chanson en Swahili

Sportpesa ni kitendawili kigumu kufumbua kweli

Kila mara nkiucheza naona kama niko karibu kushinda mamilioni ya pesa

Matokeo yakija nano kama nipoteza mechi moja pekee

Nkaona kama iko siku nita shinda hiyo mechi moja

Wakati uliopita niliuza piki piki

NIlamaliza pesa hizo kabla ya kushinda

Wakati mmoja nikashinda pesa chahe mno

Nikaona kama nikirudia kucheza kama vile nilivyo cheza wakati huo nitashinda

Ole wangu siku shinda pesa hizo zote zikachukuliwa

NIligundua kitendawili hiki ikiwa huu mchezo umenifilisi

Nikitendawili kigumu sana kugifumbua
Droits parole : paroles officielles sous licence Lyricfind respectant le droit d'auteur.
Reproduction des paroles interdite sans autorisation.

Commentaires sur les paroles de Kitendawili Cha Sportpesa !!!

Nom/Pseudo
Commentaire
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - Tous droits réservés. www.paroles-musique.com
Connexion membre

Se connecter ou créer un compte...

Mot de passe oublié ?
OU
CREER COMPTE
Sélectionnez dans l'ordre suivant :
1| symbole en bas de la loupe
2| symbole en haut du téléviseur
3| symbole à gauche de l'appareil photo
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid