paroles de chanson / John Ambuli parole / Maisha Ni Mafupi Mno !!! lyrics  | ENin English

Paroles de Maisha Ni Mafupi Mno !!!

Interprète John Ambuli

Paroles de la chanson Maisha Ni Mafupi Mno !!! par John Ambuli lyrics officiel

Maisha Ni Mafupi Mno !!! est une chanson en Swahili

Maisha ni mafupi mno

masaa ishirini na manne nna sikusaba kwa juma hayanitoshi

Miradi yangu inahitaji muda zaidi ya masaa ishirini na manne na siku saba za wiki

Nina mambo mengi yanayohitaji niyatimize maishani mwangu

SIna wakati wa kushiriki kwenye Umbeya na na mengine ya mtaani

Naepuka balaa hii mimi

Heri niutumie wakati wangu kwenye miradi itakayo nifaa maishani zaidi ya kuwekeana chuki na kisasi na majirani wangu

Maisha ni mafupi mno

sina wakati

Tahadhjarini ibilisi asiwa kwae
Droits parole : paroles officielles sous licence Lyricfind respectant le droit d'auteur.
Reproduction des paroles interdite sans autorisation.

Commentaires sur les paroles de Maisha Ni Mafupi Mno !!!

Nom/Pseudo
Commentaire
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - Tous droits réservés. www.paroles-musique.com
Connexion membre

Se connecter ou créer un compte...

Mot de passe oublié ?
OU
CREER COMPTE
Sélectionnez dans l'ordre suivant :
1| symbole à droite du nuage
2| symbole en haut du cadenas
3| symbole en bas de la croix
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid