paroles de chanson / John Ambuli parole / Jaba Inampelekanga Mbio Mno !!! lyrics  | ENin English

Paroles de Jaba Inampelekanga Mbio Mno !!!

Interprète John Ambuli

Paroles de la chanson Jaba Inampelekanga Mbio Mno !!! par John Ambuli lyrics officiel

Jaba Inampelekanga Mbio Mno !!! est une chanson en Swahili

Huyu jama ana shangaza mno

Jaba inampelekanga mbio mno

Juzi pale kwenye joint Alifyutuka mbio mno

Kwa mda wa sekunde moja alikua katikati ya barabara

Watumia barabara wakalazimika kusimamisha magari yao ghafla mengine yakigongana na kusababisha msongamano wa magari barabarani katikati ya Mji

Alifyatuka mbio akatoroka

Wakati mwingine huwa anasikia sauti zisizokuwepo

Akaanza kusingizia wenzake kwamba wameongea na kusema mambo ambayo hawawezi hata kuyasema akasababisha balaa

Na wakati mwingine huwa anapika chakula kingi mno chakula kinacho weza kuwatosha watu wazima wanane akakila hadi kukimaliza

Na wakati mwingine huwa analima shambani kazi ambayo inalingana na wanaume wanane
Droits parole : paroles officielles sous licence Lyricfind respectant le droit d'auteur.
Reproduction des paroles interdite sans autorisation.

Commentaires sur les paroles de Jaba Inampelekanga Mbio Mno !!!

Nom/Pseudo
Commentaire
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - Tous droits réservés. www.paroles-musique.com
Connexion membre

Se connecter ou créer un compte...

Mot de passe oublié ?
OU
CREER COMPTE
Sélectionnez dans l'ordre suivant :
1| symbole en bas du téléviseur
2| symbole en bas du cadenas
3| symbole en haut de l'horloge
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid