song lyrics / John Ambuli / Jaba Inampelekanga Mbio Mno !!! lyrics  | FRen Français

Jaba Inampelekanga Mbio Mno !!! lyrics

Performer John Ambuli

Jaba Inampelekanga Mbio Mno !!! song lyrics by John Ambuli official

Jaba Inampelekanga Mbio Mno !!! is a song in Swahili

Huyu jama ana shangaza mno

Jaba inampelekanga mbio mno

Juzi pale kwenye joint Alifyutuka mbio mno

Kwa mda wa sekunde moja alikua katikati ya barabara

Watumia barabara wakalazimika kusimamisha magari yao ghafla mengine yakigongana na kusababisha msongamano wa magari barabarani katikati ya Mji

Alifyatuka mbio akatoroka

Wakati mwingine huwa anasikia sauti zisizokuwepo

Akaanza kusingizia wenzake kwamba wameongea na kusema mambo ambayo hawawezi hata kuyasema akasababisha balaa

Na wakati mwingine huwa anapika chakula kingi mno chakula kinacho weza kuwatosha watu wazima wanane akakila hadi kukimaliza

Na wakati mwingine huwa analima shambani kazi ambayo inalingana na wanaume wanane
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Jaba Inampelekanga Mbio Mno !!! lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the left of magnifying glass
2| symbol at the bottom of the target
3| symbol to the right of the thumbs up
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid