song lyrics / John Ambuli / Kitendawili Cha Sportpesa !!! lyrics  | FRen Français

Kitendawili Cha Sportpesa !!! lyrics

Performer John Ambuli

Kitendawili Cha Sportpesa !!! song lyrics by John Ambuli official

Kitendawili Cha Sportpesa !!! is a song in Swahili

Sportpesa ni kitendawili kigumu kufumbua kweli

Kila mara nkiucheza naona kama niko karibu kushinda mamilioni ya pesa

Matokeo yakija nano kama nipoteza mechi moja pekee

Nkaona kama iko siku nita shinda hiyo mechi moja

Wakati uliopita niliuza piki piki

NIlamaliza pesa hizo kabla ya kushinda

Wakati mmoja nikashinda pesa chahe mno

Nikaona kama nikirudia kucheza kama vile nilivyo cheza wakati huo nitashinda

Ole wangu siku shinda pesa hizo zote zikachukuliwa

NIligundua kitendawili hiki ikiwa huu mchezo umenifilisi

Nikitendawili kigumu sana kugifumbua
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Kitendawili Cha Sportpesa !!! lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the bottom of the smiley
2| symbol at the top of magnifying glass
3| symbol at the bottom of the cross
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid