song lyrics / Sam Silver / Homa lyrics  | FRen Français

Homa lyrics

Performer Sam Silver

Homa song lyrics by Sam Silver official

Homa is a song in Swahili

Mapezi yanaumiza
mapezi yanaliza nimekoma
Ninahoshindwa kujiuliza
furaha kaichukua haina noma
Najiuliza kwanini umeniadhibu bila kosa
Au kisa umaskini au nini kimeniponza
Si ulisema we dawa haya
sasa mbona mbona umenikanana nanana
ulivyofanya sio sawa haya moyo umeumiza sana
Si ulisema we dawa haya
sasa mbona mbona umenikanana nanana
ulivyofanya sio sawa haya moyo umeumiza sana
Homa ya penzi bora malaria ukiumwa utapona
Kuliko machozi kila siku afadhari ya jana
Nani wakunipenda nikapona homa ya penzi
Nikasahau walionitenda nitukana nikatokwa na machozi


Nilijua tiba kumbe mwiba amenichoma moyoni
Ameguaka simba ananiwinda kila siku pendoni
Amani haipo tena imepotea
Yule mpenzi wa kweli ameolewa
Ameniacha mkiwa amenioenea
Baharini bila boya vipi nitaelea
Ohoo beib beib
Si ulisema we dawa haya
sasa mbona mbona umenikanana nanana
ulivyofanya sio sawa haya moyo umeumiza sana
Si ulisema we dawa haya
sasa mbona mbona umenikanana nanana
ulivyofanya sio sawa haya moyo umeumiza sana
Homa ya penzi bora malaria ukiumwa utapona
Kuliko machozi kila siku afadhari ya jana
Nani wakunipenda nikapona homa ya penzi
Nikasahau walionitenda nitukana nikatokwa na machozi
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Homa lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the right of the padlock
2| symbol at the bottom of the trash
3| symbol at the bottom of the heart
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid