song lyrics / Sam Silver / Vanessa lyrics  | FRen Français

Vanessa lyrics

Performer Sam Silver

Vanessa song lyrics by Sam Silver official

Vanessa is a song in Swahili

Umeubanika moyo kwenye moto mkali
Mfupa kwa kibogoyo umeniumiza hatarii
Siamini imebaki historia
Malipo ya upendo ni kulia
Mangapi kwako nilivumilia
Leo umeniacha umekimbia
Umeumiza roho umeumiza moyo mapenzi peke yangu mimi nateseka
Mfupa kibogoyo etii kisa doooo unataka kuniua mi na presha
Uliniaga unaenda kwenu Iringa kwenu umefiwa na bibi
Nikajichanga nauli ya ndinga ukamzike bibi
Kijijini kwenu Tosa maganga kumbe ndoa imetiki
Kumbe lengo lako ulitaka kuniua niteseke na jiji

Vanessa weee vanesa nasikia umeolewa Iringa
Vanessa weee vanesa na boss Fulani Mafinga
Vanessa weee vanesa nasikia umeolewa Iringa
Vanessa weee vanesa na muuza mbao Mafinga

Miaka mingi imekatika naishi na yeye
Nikajifunza mpaka kihehe kamwene mnogage ndauli bee
Nikamtambulisha kwa wazazi wamjuee
Akajifunza na kinyakyusa mgonile mgonege bhapapi bhangu
Unajua akili yangu uliivuruga nikanenena mpaka lugha
Peke yangu nikahisi kama nakufa mtetezi wangu nani ?
Umeumiza roho umeumiza moyo mapenzi peke yangu mi nateseka
Mfupa kibogoyo etii kisa doooo unataka kuniua mi na presha
Uliniaga unaenda kwenu Iringa kwenu umefiwa na bibi
Nikajichanga mimi nauli ya ndinga ukamzike bibi
Kijijini kwenu Tosa maganga kumbe ndoa imetiki
Kumbe lengo lako ulitaka kuniua niteseke na jiji

Vanessa weee vanesa nasikia umeolewa Iringa
Vanessa weee vanesa na boss Fulani Mafinga
Vanessa weee vanesa nasikia umeolewa Iringa
Vanessa weee vanesa na muuza mbao Mafinga
Vanessa weee vanessa
Vanessa weee vanessa
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Vanessa lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the right of the cloud
2| symbol at the top of the padlock
3| symbol to the left of magnifying glass
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid