song lyrics / Sam Silver / Mapepo lyrics  | FRen Français

Mapepo lyrics

Performer Sam Silver

Mapepo song lyrics by Sam Silver official

Mapepo is a song in Swahili

Oyaa Mwanangu Tonii nimeota ijui ni kweli
Nimeota mavitu ya ajabu ajabu sana

Nimeota konde karudi tena kwa mondi
kamrudia Kajala na range kaweka bondi
Nimeota Bilnass ameachana na Nandi
Ruge kafufuka na kaishaweka kibendii

Sijui ni mapepo eehee mapepo

Nimeota sugu amerudi Bungeni
Mbeya hapatoshi sijui ni jimbo gani
Nimeomba Mbowe amerudi tena CCM
Mwigulu ni chadema anapigwa kutwa mabomu

sijui ni mapepo enhee mapepo

Nimeota stars wapo kombe la dunia
Mama kagawa mkwanja kwa kila mtanzania
nimeota Wema kadaka mimba ya Whozu
Manara karudi Simba na yanga wanaitwa Mazuzu

Sijui ni mapepo eehee mapepo

Nimeota Gwajima kwenye jumba la sinema
Roma Karudi Bongo ila bado katekwa tena
Sijui nimeota sawa Magufuli na Gadafi
Mondi ni chawa baba levo Rais wasafi
Na mwijaku nae mambo safi

Chorus
we una mapepo kemea mapepo
mapepo kemea mapepo
we una mapepo kemea mapepo
mapepo kemea mapepo
kemea mapepo
kemea mapepo
kemea mapepo
kemea mapepo

VERSE 2
Nimeota marekani uchumi wao umeyumba
Tz imetoa misaada ya chakula na mitumba
Nimeota amefufulka Kanumba
Chege amekutana na Mwanayumba

Sijui ni mapepo eehee mapepo

Nimeota Moze Iyobo ni dancer wa Justine Bibber
hip imezikwa hata bila ya msiba
Ugonjwa Wa ukimwi Dunian umepata Tiba
nimeota msechu mwembamba kama alikiba

Sijui ni mapepo eehee mapepo

Nimeota Zuchu kapewa mimba na simba
kawa mama wa nyumbani kaacha hata kuimba
dullah Makabila msanii bora nchini
kapewa tuzo na mondi kampiga chini

Chorus
we una mapepo kemea mapepo
mapepo kemea mapepo
we una mapepo kemea mapepo
mapepo kemea mapepo
kemea mapepo
kemea mapepo
kemea mapepo
kemea mapepo
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Mapepo lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the top of the television
2| symbol to the right of the cloud
3| symbol to the left of magnifying glass
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid