song lyrics / Sam Silver / Atuganile lyrics  | FRen Français

Atuganile lyrics

Performer Sam Silver

Atuganile song lyrics by Sam Silver official

Atuganile is a song in Swahili

Nilisoma nae Mbeya kwa Mwankina
Alikuwa mzuri misili ya Georgina
Jina lake Atuganile
Mtoto wa Mwakipesile
Shule ya msingi Uyole
Alionekana mlokole
Alikuwa na akili sana yule dada
Ukimsalimu bwana asifiwe kwanza
Akitoka shuke kanisani
Akitoka kanisa nyumbani
Aliona wanaume hawafai
Maana wamejawa ulaghai
Hawana maana sana watamdanganya akashindwa kusoma
Aliambiwa na mama binadamu wengi ni wanyama
Mapenzi yanalaana Ukipenda sana utaumia mama
Soma sana kijana dunia ya leo imejawa dana dana
Atuganie wewe atuganile rafiki yangu
Atuganie wewe atuganile wee ndugu yangu
Atuganie wewe atuganile rafiki yangu
Atuganie wewe atuganile wee ndugu yangu

Alikuwa na akili sana
Hata ukimsikia maneno yake mazuir sana
Kwetu kijijini alisoma akafaulu peke yake
Alishika sana dini na maneno ya wazazi wake
Na Mungu nae akamsaidia akafika chuo dar es salaama
Hostel zake za mabibo akasahau ya baba na mama
Majogoo yakawika kokoriko akasahau kwenda shule
Hatimae na chuo akadisco alivopata bwana yule
Alidanganywa ataolewa kumbe jamaa ana mke wake
Hakujua anachezewa leo kapoteza utu wake
Hawana maana sana watamdanganya akashindwa kusoma
Aliambiwa na mama binadamu wengi ni wanyama
Mapenzi yanalaana Ukipenda sana utaumia mama
Soma sana kijana dunia ya leo imejawa dana dana
Atuganie wewe atuganile rafiki yangu
Atuganie wewe atuganile wee ndugu yangu
Atuganie wewe atuganile rafiki yangu
Atuganie wewe atuganile wee ndugu yangu
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Atuganile lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the right of the smiley
2| symbol at the bottom of the cloud
3| symbol to the right of the helmet
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid