song lyrics / Sam Silver / Sawa Sawa lyrics  | FRen Français

Sawa Sawa lyrics

Performer Sam Silver

Sawa Sawa song lyrics by Sam Silver official

Sawa Sawa is a song in Swahili

Kifua kijamanda
Kimepigwa randa
uno feni kama ray c
Nishafungwa gwanda kamanda
unanpeleka race
Mimi ni ndenge nishatua kwako forever (forever)
Nipeleke kule utakapo dereva (dereva)
Ukiongeza pilipili chachandu
you drive me crazy
Unanichanganya akili me fyatu
muda wote busy
Sitotoa siri kwa watu
mapenzi uongeze
Wanasema umeniroga
Sawa sawa
Kaniroge tena sawa
Me nawe tuwe pamoja sawa sawa
Wakose cha kusema sawa


On ma girl wecome on my way
Nishakusoma kwenye rada
Together to stay
Unanimbamba mshamba
Kuku mgeni me sikosi kamba
Pemba tanga tutakwenda kote watushangae
I know you like fashion I'm gonna be your own designer
I know you like dance I'm gonna be your wako jacko
Ukiongeza pilipili chachandu
you drive me crazy
Unanichanganya akili me fyatu
muda wote busy
Sitotoa siri kwa watu
mapenzi uongeze
Wanasema umeniroga
Sawa sawa
Kaniroge tena sawa
Me nawe tuwe pamoja sawa sawa
Wakose cha kusema sawa
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Sawa Sawa lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the bottom of the padlock
2| symbol to the left of the envelope
3| symbol at the bottom of the helmet
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid