song lyrics / Msanii Music Group / Waheshimiwe Wazazi lyrics  | FRen Français

Waheshimiwe Wazazi lyrics

Performers Msanii Music GroupJoash Nyamongo Ongechi

Waheshimiwe Wazazi song lyrics by Msanii Music Group official

Waheshimiwe Wazazi is a song in Swahili

Nakukumbusha utoto wako
Ukiwa hauna lolote
Ulihitaji ulinzi
Ndipo upate kukua
Wazazi wetu walifanya chochote kuhakikisha tumefaulu
Sasa ni wakati wetu tuweze kuwakumbuka ohhh

Chorus
Waheshimiwe maana hawa ni wazazi wetu
Waeshimiwe wametutendea makubwa
Tuwakumbuke katika hali ya uzee wao
Tuwakumbuke tuweze kupata baraka
Waheshimiwe maana hawa ni wazazi wetu
Waeshimiwe wametutendea makubwa
Tuwakumbuke katika hali ya uzee wao
Tuwakumbuke tuweze kupata baraka

Chanting

Tuwakumbuke mama zetu walivyojitolea
Tukiwa ni wadogoo walivyotungarisha
We ukidhani umeshiba
Yeye ashajua haupo sawa
cnajaribu njia zote kuhakikisha u buheri wa afya
Tuwakumbe baba zetu wanavyo tia bidii
Wakifanya vibarua kuhakikisha tumeipata elimu
Na baada ya hayo yote wanapiga magoti na kutuombea
Bwana afungue njia ili tuweze fanikiwa

Chorus
Waheshimiwe maana hawa ni wazazi wetu
Waeshimiwe wametutendea makubwa
Tuwakumbuke katika hali ya uzee wao
Tuwakumbuke tuweze kupata baraka
Waheshimiwe maana hawa ni wazazi wetu
Waeshimiwe wametutendea makubwa
Tuwakumbuke katika hali ya uzee wao
Tuwakumbuke tuweze kupata baraka

Biblia takatifu nayo inayofundisha wazii iii
Kuwakumbuka wazazi ohh kuwaheshimu siku zote duniani
Ndio amri pekee iliyo na ahadi ya Mungu
Tuwakumbuke wazazi na siku zetu zitapata ongezeka duniani

Yakadirie haya
Wazazi wako wasijute juu yako
Wazazi wako we wee
Wazazi wako wasilie juu yako
Ujihadhali kaka yangu
Wazazi wako wasiseme mabaya
Waombee dada we eee
Wazazi watamke baraka
Yakadirie haya
Wazazi wako wasijute juu yako
Hakikisha ndugu yangu
Wazazi wako wasilie juu yako
Ohh tahadahali dada wee
Wazazi wako wasiseme mabaya
Ohh wazazi wako..
Wazazi watamke baraka...
Yakadirie haya
Wazazi wako wasijute juu yako
Wazazi wako we wee
Wazazi wako wasilie juu yako
Ujihadhali kaka yangu
Wazazi wako wasiseme mabaya
Waombee dada we eee
Wazazi watamke baraka
Yakadirie haya
Wazazi wako wasijute juu yako
Hakikisha ndugu yangu
Wazazi wako wasilie juu yako
Ohh tahadahali dada wee
Wazazi wako wasiseme mabaya
Ohh wazazi wako..
Wazazi watamke baraka...
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Waheshimiwe Wazazi lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the left of the house
2| symbol at the bottom of the heart
3| symbol at the top of the camera
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid