song lyrics / Msanii Music Group / Umetamalaki lyrics  | FRen Français

Umetamalaki lyrics

Performers Msanii Music GroupJoash Nyamongo Ongechi

Umetamalaki song lyrics by Msanii Music Group official

Umetamalaki is a song in Swahili

Asiyejua na ajue leo
Neno lako ni taa
Likimlika nikikanyaga hapo
Ninatembea salama
Nikiwa nimepotea mimi
Nikitazama maandiko yako Bwana
Ninajua napotea
Narejea njia za mwanga wako

Chorus
Ewe muumba wetu
Unetamalaki
Sheria zako ni mwanga miguuni mwetu
Zanyosha njia zetu
Ukitawala
Nani apinge
Ole kwake
Atakaye
Ziacha njia zako
Ewe muumba wetu
Unetamalaki
Sheria zako ni mwanga miguuni mwetu
Zanyosha njia zetu
Ukitawala
Nani apinge
Ole kwake
Atakaye
Ziacha njia zako


Heri wale walio waadilifu
Katika njia zake Bwana
Heri wale wanaozishika shuuda
Zake muumba wetu
Wamtafutao kwa moyo wote
Wasiofanya jambo lililo baya
Wanaotembea kwa njia zake
Na kuyafuata maagizo yake
Wasio na lawama kwa waja wake
Atawaondolea hukumu zao
Na watapata kuhaapishwa
Maana watakuwa ni washindi
Ewe Mungu
Ewe muumba wetu
Unetamalaki
Sheria zako ni mwanga miguuni mwetu
Zanyosha njia zetu
Ukitawala
Nani apinge
Ole kwake
Atakaye
Ziacha njia zako
Ewe muumba wetu
Unetamalaki
Sheria zako ni mwanga miguuni mwetu
Zanyosha njia zetu
Ukitawala
Nani apinge
Ole kwake
Atakaye
Ziacha njia zako
Ewe muumba wetu
Unetamalaki
Sheria zako ni mwanga miguuni mwetu
Zanyosha njia zetu
Ukitawala
Nani apinge
Ole kwake
Atakaye
Ziacha njia zako
Ewe muumba wetu
Unetamalaki
Sheria zako ni mwanga miguuni mwetu
Zanyosha njia zetu
Ukitawala
Nani apinge
Ole kwake
Atakaye
Ziacha njia zako
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Umetamalaki lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the top of the thumbs up
2| symbol to the right of the suitcase
3| symbol at the top of the clock
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid