song lyrics / Msanii Music Group / Bwana Ni Mchungaji Wangu lyrics  | FRen Français

Bwana Ni Mchungaji Wangu lyrics

Performers Msanii Music GroupJoash Ongechi

Bwana Ni Mchungaji Wangu song lyrics by Msanii Music Group official

Bwana Ni Mchungaji Wangu is a song in Swahili

Bwana ni mchungaji wangu
Sitapungukiwa kitu chochotee....
Bwana ni mchungaji wangu
Sitapungukiwa kitu chochotee....
Hunilaza kwenye majani mabichi
Hunongoza kwa maji matulivu
Hunilaza kwenye majani mabichi
Hunongoza kwa maji matulivu
Hunihuisha nafsi yangu
Hunongoza kwa njia za haki
Nipitapo bondeni mwa mauti
Sitaogopa maana ye yu nami

Hakika wema nazo (wema nazo)
Fadhili zitanifuata (Zitanifuata)
Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (Mwa baba yangu)
Siku za maisha yangu yote (Hakika)
Hakika wema nazo (Wema nazo)
Fadhili zitanifuata (Zitanifuata)
Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (mwa baba yangu)
Siku za maisha yangu yote


Gongo lako na fimbo yako vyanifariji
Mimi mwana wako
Waandaa meza mbele yangu
Machoni pa watesi wangu
Machoni pa wasiwanguu..

Hakika wema nazo (wema)
Fadhili zitanifuata
Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (Mwa baba yangu)
Siku za maisha yangu yote (Hakika)
Hakika wema nazo (wema nazo)
Fadhili zitanifuata (Zitanifuata)
Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (mwa baba yangu)
Siku za maisha yangu yote...

Nakualika ewe rafiki yangu
Uje uwe kondoo wake
Yeye ni mlinzi mwema
ctakulinda siku sote
Hatakuacha kamwe
Hadi mwisho wa dahari
Hadi mwisho wa dahari

Hakika wema nazo (wema nazo)
Fadhili zitanifuata (zitanifuata)
Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (Mwa baba yangu)
Siku za maisha yangu yote (hakika)
Hakika wema nazo (wema nazo)
Fadhili zitanifuata (zitanifuata mimi)
Nitakaa nyumbani mwa baba yangu ( mwa baba yangu)
Siku za maisha yangu yote (hakika)
Hakika wema nazo (wema nazo...)
Fadhili zitanifuata (..tanifuata)
Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (mwa baba yangu)
Siku za maisha yangu yote (..aa maisha yangu yote)
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Bwana Ni Mchungaji Wangu lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the bottom of the television
2| symbol at the bottom of the envelope
3| symbol at the bottom of the suitcase
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid