paroles de chanson / Msanii Music Group parole / Bwana Ni Mchungaji Wangu lyrics  | ENin English

Paroles de Bwana Ni Mchungaji Wangu

Interprètes Msanii Music GroupJoash Ongechi

Paroles de la chanson Bwana Ni Mchungaji Wangu par Msanii Music Group lyrics officiel

Bwana Ni Mchungaji Wangu est une chanson en Swahili

Bwana ni mchungaji wangu
Sitapungukiwa kitu chochotee....
Bwana ni mchungaji wangu
Sitapungukiwa kitu chochotee....
Hunilaza kwenye majani mabichi
Hunongoza kwa maji matulivu
Hunilaza kwenye majani mabichi
Hunongoza kwa maji matulivu
Hunihuisha nafsi yangu
Hunongoza kwa njia za haki
Nipitapo bondeni mwa mauti
Sitaogopa maana ye yu nami

Hakika wema nazo (wema nazo)
Fadhili zitanifuata (Zitanifuata)
Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (Mwa baba yangu)
Siku za maisha yangu yote (Hakika)
Hakika wema nazo (Wema nazo)
Fadhili zitanifuata (Zitanifuata)
Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (mwa baba yangu)
Siku za maisha yangu yote


Gongo lako na fimbo yako vyanifariji
Mimi mwana wako
Waandaa meza mbele yangu
Machoni pa watesi wangu
Machoni pa wasiwanguu..

Hakika wema nazo (wema)
Fadhili zitanifuata
Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (Mwa baba yangu)
Siku za maisha yangu yote (Hakika)
Hakika wema nazo (wema nazo)
Fadhili zitanifuata (Zitanifuata)
Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (mwa baba yangu)
Siku za maisha yangu yote...

Nakualika ewe rafiki yangu
Uje uwe kondoo wake
Yeye ni mlinzi mwema
ctakulinda siku sote
Hatakuacha kamwe
Hadi mwisho wa dahari
Hadi mwisho wa dahari

Hakika wema nazo (wema nazo)
Fadhili zitanifuata (zitanifuata)
Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (Mwa baba yangu)
Siku za maisha yangu yote (hakika)
Hakika wema nazo (wema nazo)
Fadhili zitanifuata (zitanifuata mimi)
Nitakaa nyumbani mwa baba yangu ( mwa baba yangu)
Siku za maisha yangu yote (hakika)
Hakika wema nazo (wema nazo...)
Fadhili zitanifuata (..tanifuata)
Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (mwa baba yangu)
Siku za maisha yangu yote (..aa maisha yangu yote)
Droits parole : paroles officielles sous licence Lyricfind respectant le droit d'auteur.
Reproduction des paroles interdite sans autorisation.

Commentaires sur les paroles de Bwana Ni Mchungaji Wangu

Nom/Pseudo
Commentaire
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - Tous droits réservés. www.paroles-musique.com
Connexion membre

Se connecter ou créer un compte...

Mot de passe oublié ?
OU
CREER COMPTE
Sélectionnez dans l'ordre suivant :
1| symbole à gauche de la valise
2| symbole en haut du casque
3| symbole à droite de la loupe
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid