song lyrics / Rose Muhando / Efatha/Funguka lyrics  | FRen Français

Efatha/Funguka lyrics

Performer Rose Muhando

Efatha/Funguka song lyrics by Rose Muhando official

Efatha/Funguka is a song in English

Funguka
Funguka
Funguka
Inuka, inuka,
Jitwikwe godoro lako uendee
Inuka, inuka, inuka, inuka
Jitwike godoro lako uendee
Efatha
Efatha
Kwa jina la Yesu Simama uendee
Efatha
Efatha
Kwa jina la Yesu Simama uendee


Mbona unahuzunika wewe umelala
Umefungwa na nini mbona wewe umelala
Wenzako wanabarikiwa mbona wewe umelala
Msimu wa kiangazi na masika vinapita wewe umelala
Umefungwa na nini mbona umelala
Unaitwa majina mabaya sababu yote wewe umelala
Mkono wa Mungu upo hapo
Uweza wa Mungu upo hapa
Uwepo wa Mungu upo hapa
Na Yesu mwenyewe yupo hapa
Kwa Jina la Jesu
Kwa Jina la Jesu
Kwa Jina la Jesu
Simama uendee
Kwa Jina la Jesu
Kwa Jina la Jesu
Kwa Jina la Jesu
Tembea uendee
Pokea muujiza wako “Uwe mzima”
Kwa jina la Yesu “Uwe mzima”
Usima uwe juu yako“Uwe mzima” hey hey
Kwa Jina la Yesu “Uwe mzima”
Ufunguliwe kwenye vifungo“Uwe mzima”
Kwa Jina la Yesu “Uwe mzima”
Utolewe kwenye mateso “Uwe mzima”
Kwa Jina la Yesu “Uwe mzima”
Umefungwa kazini kwako”Uwe mzima”
Kwa Jina la Yesu”Uwe mzima”
Umefungwa kwenye mapango”Uwe mzima”
Kwa Jina la Yesu”Uwe mzima”
Umefungwa kwenye makaburi”Uwe mzima”
Toka, Kwa Jina la Yesu “Uwe mzima”
Umefungwa kwenye uchawi “Uwe mzima”
Hey, Kwa Jina la Yesu “Uwe mzima”
Na amuru uzima wako “Uwe mzima”
Kwa jina la Yesu“Uwe mzima”
Naamuru Amani yako “Uwe mzima”
Kwa Jina la Yesu“Uwe mzima”
Simama uendee “Uwe mzima”
Kwa Jina la Yesu“Uwe mzima”
Simama
Simama
Simama
Simama
Nasema
Inuka,
inuka,
inuka,
inuka
Nasema
kwa jina la Yesu,
Kwa jina la Yesu,
Kwa Jina la Yesu,
Hey, Hey
Kwa jina la Yesu,
Kwa jina la Yesu,
Kwa jina la Yesu,
Kwa jina la Yesu,
Hey
Waoooo
Kunena kwa lugha

Vifungo vikuachie ,uwe mzima
Kwa jina la Yesu ,uwe mzima
Utasa ukuondokee,uwe mzima
Kwa jina la Yesu uwe mzima
Kiziwi na usikie, uwe mzima
Kwa Jina la Yesu , we mzima
Na laana zikuondokee, uwe mzima
Kwa jina la Yesu, uwe mzima
Enenda na amani yako, uwe mzima
Kwa Jina la Yesu, uwe mzima
Enenda na uponyaji wako, uwe mzima
Kwa jina la Yesu, uwe mzima
Nasema
Efatha, uwe mzima
Kwa Jina la Yesu, Uwe mzima
Nasema
Enenda na amani yako, uwe mzima
Kwa jina la Yesu, uwe mzima
Nenda na uponyaji wako, uwe mzima
Kwa jina la Yesu, uwe mzima
Nasema
Efatha, uwe mzima
Kwa jina la Yesu, uwe mzima
Efatha, uwe mzima
Kwa jina la Yesu, uwe mzima
Nasema enenda kwa amani yako, uwe mzima
Kwa jina la Yesu, uwe mzima
Efatha
Efatha, uwe mzima
Efatha
Efatha, uwe mzima
Inuka
Inuka, uwe mzima
Inuka
Inuka, uwe mzima
Efatha, woyoyoyo, uwe mzima
Hey hey, uwe mzima
Woyoyoyooo
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Efatha/Funguka lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the top of the envelope
2| symbol to the right of the calculator
3| symbol at the bottom of the target
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid