song lyrics / Guardian Angel / Utafurahi lyrics  | FRen Français

Utafurahi lyrics

Performer Guardian Angel

Utafurahi song lyrics by Guardian Angel official

Utafurahi is a song in Swahili

Anatengeneza ushuhuda wako ooh
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana
Anatengeneza ushuhuda wako ooh
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana
sana sana sana sana
Utafurahi sanaaa mwishoo wa siku kweli utafurahi sanaaa.
Sana sana sana sana utafurahi sanaa mwisho wa siku kweli utafurahi sanaa

Giza ni jingi wakati kunaelekea kucha,
Kukicha utapata mwanga utafurahi sanaa
Tatizo la mtoto naona linakukera sana
Kukicha utapata mtoto utafurahi sana
Tatizo la kazi jamani linakukwaza sana
Kukicha utapata kazi utafurahi sana
Sana sana sana ah
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana

Wakati mwingine Mungu anakujaribu tu, oh
Aone imani yako
Aone uaminifu wako
Aone utiifu wako
Apate utukufu kwako ooh
Aone imani yako
Aone uaminifu wako
Aone utiifu wako
Apate utukufu kwako ooh

Sanaa sana sana sana utafurahi sana sana sana
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana

Yesu anatengeneza anatengeneza ushuhuda wako ooh
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana
Anatengeneza anatengeneza ushuhuda wako ooh
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana
Sana sana sana sana utafurahi sana
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana
Sana sana sana sana utafurahi sana
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana

Ayubu alipoteza kila kitu chake eeh
Mke wake akamshauri amuasi Mungu
Binadamu atakucheka sana ah
Watauliza ako wapi Mungu wako ooh
Wewe shikilia imani yako ooh
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana,
Sana sana sana sana sana
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana

Wakati mwingine Mungu anakujaribu tu ooh
Aone imani yako
Aone uaminifu wako
Aone utiifu wako
Apate utukufu kwako ooh
Mtetezi wako anatengeneza ushuhuda wako ooh anapigana vita vyako

Mwisho wa siku kweli utafurahi sana
Hee Mtetezi wako anatengeneza ushuhuda wako ooh
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana
Sana sana sana sana utafurahi sana
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana
Sana sana sana sana utafurahi sana
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Utafurahi lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the right of the smiley
2| symbol at the top of the padlock
3| symbol to the left of the suitcase
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid