song lyrics / Guardian Angel / Nimependa lyrics  | FRen Français

Nimependa lyrics

Performers Guardian AngelSammy GDeus Derrick

Nimependa song lyrics by Guardian Angel official

Nimependa is a song in Swahili

Mi sijuti, mi sijuti kupata wokovu
ningali kijana aeeh
nimepata amani iliyo ya kweli
amani ambayo sikupata kwingine
Mungu nae jivunia si Mungu niliye sikia
ni Mungu ambaye nimeona akitenda
kwake napata raha kila kitu nafanyiwa
sioni hasara Mungu ananipenda
kwake napata raha kila kitu nafanyiwa
sioni hasara Mungu ananipenda
Nimependa penda nimependa
nimependa unavyonitemnbeza
kuna changamoto hutokea katika
safari ya wokovu ila mapito yako
yanatendeka kwa wema. piga simu
pigia rafiki zako simu wote leo uwaambie
una shida sana unaitaji saupport
ukimaliza pigia na Mungu wako Goti
kisha nae umwambie una shida sana
unaitaji support hapo ndipo utaona
nani anaekujalia atakae kusaidia
aeeh kwa Mungu wangu na pata raha
kila kitu nafanyiwa nina imani kweamba
Mungu ananipenda kwa Mungu wangu
napata raha kila kitu nafanyiwa nina imani
kwamba Mungu ananipenda
nimepoenda penda nimependa nimependa
Unavyonitembeza nimependa penda nimependa
nimependa unavyonitembeza
maandiko yanasema mkumbuke Mungu muumba
wako ungali kijana bado una nguvu
maandiko yanasema mkumbuke Mungu
muumba wako ungali kijana bado unanguvu
usijidanganye ati bado ungali kijana
unavunja mifupa mifupa kuokoka ni uzeeni
kwanza kufika uzeeni siku hizi ni majaliwa
aaaeeh maisha ni mafupi sana Muishie Mungu
kwanza kufuka uzeeni siku hizi ni majaliwa
maisha ni mafupi sana muishe Mungu
nimependa mimi nimependa penda nimependa
nimependa unavyo nitembeza
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.
Writer: PETER AUDIPHAXAD

Comments for Nimependa lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the left of the calculator
2| symbol to the right of the smiley
3| symbol to the left of the suitcase
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid