song lyrics / Guardian Angel / Shida lyrics  | FRen Français

Shida lyrics

Performer Guardian Angel

Shida song lyrics by Guardian Angel official

Shida is a song in Swahili

SHIDA
chorus
Jamani shida kitu kibaya sana shida ooh
ooooh shida
jamani shida kitu kibaya sana shida oohb
oooh shida
utadharauliwa na marafiki zako kusudi shida
oooh shida
unaeza tengwa na familia yako kusudi shida
oooh shida
unawezageuziwa hata na bibi yako kusudi shida
oooh shida
utalaumiwa na watoto wako kusudi shida
oooh shida
kuna watu wengi wamejimada kusudi shida
ooh shida

verse
nina ndugu ni mukristo anafanya kazi kanisani
lakini shida zake znafanya jirani zake washindwe kumuamini Mungu wake
bibi amemuacha watoto wamemuchosha
jamani shida zake zimefanya watu wote mpaka familia yake iondoke
maisha ya shida mazito mazito mazito
mzigo wa shida ni mzito ni mzito ni mzito
maisha ya shida mazito mazito mazito
mzigo wa shida ni mzito ni mzito nimzito

chorus
Jamani shida kitu kibaya sana shida ooh
ooooh shida
jamani shida kitu kibaya sana shida oohb
oooh shida
utadharauliwa na marafiki zako kusudi shida
oooh shida
unaeza tengwa na familia yako kusudi shida
oooh shida
unawezageuziwa hata na bibi yako kusudi shida
oooh shida
utalaumiwa na watoto wako kusudi shida
oooh shida
kuna watu wengi wamejimada kusudi shida
ooh shida

unapambana nanana
chanapa nanana
na shida znaleta aibu ndogo ndogo bana
kilamutu anakushuku wanakushuku
inagandamiza uhusiano wako na mandugu
maisha ya shida mazito mazito mazito
mzigo wa shida ni mzito ni mzito ni mzito

Jamani shida kitu kibaya sana shida ooh
ooooh shida
jamani shida kitu kibaya sana shida oohb
oooh shida
utadharauliwa na marafiki zako kusudi shida
oooh shida
unaeza tengwa na familia yako kusudi shida
oooh shida
unawezageuziwa hata na bibi yako kusudi shida
oooh shida
utalaumiwa na watoto wako kusudi shida
oooh shida
kuna watu wengi wamejimada kusudi shida
ooh shida
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Shida lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the right of the star
2| symbol at the bottom of the helmet
3| symbol to the left of the suitcase
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid