song lyrics / Dj Kezz / Tenda lyrics  | FRen Français

Tenda lyrics

Performer Dj Kezz

Tenda song lyrics by Dj Kezz official

Tenda is a song in Swahili

Ohh oh oh! yeah!
they call me Dj Kezz...

Ulisema Nikuite Utaitika,
Utanionesha mambo magumu tena makubwa,
Ulisema Njooni nyote msumbukao na kulemewa
Na Mizigo yetu tupumzike.
Nimekuja Mbele Zako Bwana,
Magoti nimepiga siwezi kusimama,
Ninacho omba tu Uniskize bwana,
vita yangu ni kubwa bwana,
Ndio maana ninashindwa kusimama,
niondolee hii aibu Bwana.

Nakwamini, nakwamini wewe tu,
nakwamini oh oh oh oh!
Mwaminifu, Mwaminifu yesu tu,
Mwaminifu, ninakuamini


Tenda, Tenda, Tenda Bwana ( Niendee na mimi )
Tenda, Tenda Bwana ( Usinipite )
Tenda, Tenda Tenda Bwana (unapozuru wengine )
Tenda, Tenda Bwana!


Hii ni haja ya moyo wangu, nikutane na nguvu zako,
Ubadili maisha yangu, Niifanye na kazi yako,
pasipo na mawaa wala kujidai baba,
Hilo ni Ombi langu, Ebu Tenda Baba,
mengi yamenijaa na pa kwenda Sina,
nakimbilia kwako, Nitendee Ninaomba

Nakwamini, nakwamini wewe tu,
nakwamini oh oh oh oh!
Mwaminifu, Mwaminifu yesu tu,
Mwaminifu, ninakuamini


Tenda, Tenda, Tenda Bwana ( Niendee na mimi )
Tenda, Tenda Bwana ( Usinipite )
Tenda, Tenda Tenda Bwana (unapozuru wengine )
Tenda, Tenda Bwana!


Hii ni haja ya moyo wangu, nikutane na nguvu zako,
Ubadili maisha yangu, Niifanye na kazi yako,
pasipo na mawaa wala kujidai baba,
Hilo ni Ombi langu Ebu Tenda Baba!
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Tenda lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the left of the thumbs up
2| symbol at the bottom of the house
3| symbol at the bottom of the smiley
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid