song lyrics / Dj Kezz / Moto lyrics  | FRen Français

Moto lyrics

Performer Dj Kezz

Moto song lyrics by Dj Kezz official

Moto is a song in indeterminate language

Yaani moto tuna washa
Kwa jina la yesu tunawasha
Tumepewa mamlaka
Ona kuzimu kote kunawaka

Moto umewaka! Moto Umewaka!
Moto Umewaka! Moto Umewaka!

Moto Unachoma, Mipango ya shetani
Kwa jina la yesu, Moto umewaka humu ndani
Shetani ni mbio, ameshindwa na Joto
Shetani ni mbio, Moto Umewaka ni Moto
Shetani Anainama, Anainuka,
Anaona Moto, Anatoroka!

Yaani moto tuna washa
Kwa jina la yesu tunawasha
Tumepewa mamlaka
Ona kuzimu kote kunawaka

Moto umewaka! Moto Umewaka!
Moto Umewaka! Moto Umewaka!


Alivyofanya mwanzo huyu Mungu atafanya Tena
Kuyavunja minyororo yote kufungua mateka
Kuwaponya magonjwa na kufukuza Mapepo
Mamlaka kuwakanyaga nge na nyoka
Kwa jina la Baba,la mwana Na Roho Mtakatifu, Ndio moto tunawasha
Moto unachoma Laana, na wivu na chuki Moto Umewaka

Yaani moto tuna washa
Kwa jina la yesu tunawasha
Tumepewa mamlaka
Ona kuzimu kote kunawaka

Moto umewaka! Moto Umewaka!
Moto Umewaka! Moto Umewaka!

Moto! Moto Umewaka!
Moto! Moto Umewaka!
Mo! Mo! Mo! Mo!Mo! MOTO!
Mo! Mo! Mo! Mo! Mo! MOTO!
Kwa jina la Baba,la mwana Na Roho Mtakatifu, Ndio moto tunawasha
Moto unachoma Laana, na wivu na chuki Moto Umewaka

Yaani moto tuna washa
Kwa jina la yesu tunawasha
Tumepewa mamlaka
Ona kuzimu kote kunawaka

Moto umewaka! Moto Umewaka!
Moto Umewaka! Moto Umewaka!
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Moto lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the left of the suitcase
2| symbol to the right of the helmet
3| symbol at the bottom of the padlock
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid