song lyrics / Dj Kezz / Hodi lyrics  | FRen Français

Hodi lyrics

Performer Dj Kezz

Hodi song lyrics by Dj Kezz official

Hodi is a song in English

Naja, Kwako Ewe bwana,
Nautwika mzigo wangu kwako
Maana nira yako ni nyepesi
Si mwepesi wa hasira naja upesi, wanielewa bwana,
We ndio Alpha na Omega,
Mwanzo tena mwisho wa vote
Ninabisha, Nifungulie!

Kutembea kwingi ndiko kuona mengi,
Mi nimetembea tembea nikadhibitisha
Kwa waganga dakitari wakubwa kwa wale wadogo pia
Hakuna yule wa kulinganishwa na wa juu! juu! Juu! Juu!
Uzurure kaskazini na kusini mwisho ni kwake yesu!
Nabisha, nipishe!
Na ni kwake tu napata utulivu wa mwili na kiroho
Hodi hodi ta! ta! Ta!
Na ni kwake tu napata utulivu wa mwili na kiroho
Hodi hodi ta! ta! Ta!


Nikibisha hodi, unipokee
Mi sina kodi, inayokutosha kukutosha wewe
Nikisema hodi, nifungulie
Mi niko hoi, nimerejea bwana

Naja, Kwako Ewe bwana,
nautwika mzigo wangu kwakoo
maana nira yako ni nyepesi
si mwepesi wa hasira naja upesi, wanielewa bwana,
we ndio Alpha na Omega,
mwanzo tena mwisho wa vyote
Ninabisha, Nifungulie!

na ni kwake tu napata utulivu wa mwili na kiroho
hodi hodi ta! ta! Ta!
na ni kwake tu napata utulivu wa mwili na kiroho
hodi hodi ta! ta! Ta!


Nikibisha hodi, unipokee
Mi sina kodi, inayokutosha kukutosha wewe
Nikisema hodi, nifungulie
Mi niko hoi, nimerejea bwana

Nikibisha hodi, unipokee
Mi sina kodi, inayokutosha kukutosha wewe
Nikisema hodi, nifungulie
Mi niko hoi, nimerejea bwana
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Hodi lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the right of the trash
2| symbol at the top of the padlock
3| symbol to the left of the bulb
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid