paroles de chanson / Eric Wainaina parole / Daima - #Chanjokwawote lyrics  | ENin English

Paroles de Daima - #Chanjokwawote

Interprète Eric Wainaina

Paroles de la chanson Daima - #Chanjokwawote par Eric Wainaina lyrics officiel

Daima - #Chanjokwawote est une chanson en Anglais

Koranahu waa kadeed
Qudha kaaba gooyeeee
Kukalsoonow warkiisiyoo
Caafimaad kalkaalaha

Kaftan iyo maaha dheele
Kudka wu ka daran yahay
Kalaamkii ilaaheeey
Adoo kaashanayaa
Dowlaadena Kenya
Iskajir iskajir karonaha

Umoja ni fahari yetu
Undugu ndio nguvu
Chuki na ukabila
Hatutaki hata kamwe
Lazima tuungane, tuijenge nchi yetu
Pasiwe hata mmoja
Anayetenganisha

Naishi, natumaini,
Najitolea daima kenya
Hakika ya bendera
Ni uthabiti wangu
Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
Daima mi ni Mkenya
mwananchi mzalendo

Kwa uchungu na mateso
Kwa vilio na huzuni
Tulinyakuliwa uhuru
Na mashujaa wa zamani
Hawakushtushwa na risasi
Au kufungwa gerezani
Nia yao ukombizi
Kuvunja pingu za ukoloni

Naishi, natumaini,
Najitolea daima kenya,
Hakika ya bendera
Ni uthabiti wangu
Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
Daima mimi

Wajibu wetu
Ni kuishi kwa upendo
Kutoka ziwa mpaka pwani
Kaskazini na kusini

Naishi, natumaini,
Najitolea daima Kenya,
Hakika ya bendera
Ni uthabiti wangu
Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
Daima mi ni Mkenya
Mwananchi mzalendo

Serikali kuu na zile za kaunti
Serikali kuu na zile za kaunti
Toeni mgao kwa zenu bajeti
Toeni mgao kwa zenu bajeti
Chanjo tununue kuchanja wananchi
Chanjo tununue kuchanja wananchi
Natoa sauti yangu taarifa
Natoa sauti yangu taarifa
Huu ni wakati kuchanja taifa
Huu ni wakati kuchanja taifa

Kuna Kenya mbili..
Huyu ako kwa tracksuit anatembea kwa hiari
Na hawa wana treki inda juu ya hii hali
The kenya I have
The kenya I love
Unaeza tell na bracelet kwa wrist
Sio mtura kama ndani ina minced meat
2b or not 2b
Another day for gava kukua poetic
mvua ikianguka, fare inapanda
Usitume kwa ile ingine, tuma kwa hii number
Vijana na Kelele za Subaru
Parastatal jobs kwa Chopi wa gumbaru
Nganya kwa barabara
Wildebeest Maasai Mara
Diversity,
Isikuti
Nyatiti
Ama piano
Hawa like hizo njaro ni FOMO
Detergent zote ni OMO
Tuna smile na cavity
Justice na prosperity kwa umati
Raha tu pate, pate after pate na ustawi
Droits parole : paroles officielles sous licence Lyricfind respectant le droit d'auteur.
Reproduction des paroles interdite sans autorisation.

Commentaires sur les paroles de Daima - #Chanjokwawote

Nom/Pseudo
Commentaire
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - Tous droits réservés. www.paroles-musique.com
Connexion membre

Se connecter ou créer un compte...

Mot de passe oublié ?
OU
CREER COMPTE
Sélectionnez dans l'ordre suivant :
1| symbole en bas de la croix
2| symbole en haut du téléviseur
3| symbole à droite du casque
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid