paroles de chanson / Ambwene Mwasongwe parole / Natamani lyrics  | ENin English

Paroles de Natamani

Interprète Ambwene Mwasongwe

Paroles de la chanson Natamani par Ambwene Mwasongwe lyrics officiel

Natamani est une chanson en Swahili

Natamani sana niwe kama Bwana mtu mwema sana
aliyejikana, niwe mpole niache ya kale nitazame mbele daima milele

Niwe mtiifu
Tena mwaminifu Mtakatifu asiyejifu
Mnyenyekevu na mvumilivu mtu mtulivu asiye na wivu

Bwana ulikuja duniani hapa
kuleta ukombozi kwa kila kilichopotea
ulianza na Mimi niliyedhaifu
ukaniinua kutoka matopeni
wewe ulikuja kuleta suluhu ya makosa yote mwanadamu aliyokosea
ulikuja kutibu kosa la mwanaume alilifanya bustani ya eEdeni


Mwanaume akikosea Dunia yote huyumba mwanaume akikosea watu hujuta
kila jambo ulionalo linayumba duniani
limetokana na makosa ya mwanaume

Leo natamani iiih
iiih haaah niweze kuwa kama wewe Bwana niweze kushinda yote magumu

Nimevutiwa na historia yako wewe
Bwana wangu Yesu ni WA ajabu
kabla ulimwengu haujakuwako
ulikuweko miaka mingi ya nyuma
umeishi na wapole
umeishi na watakatifu umeishi na wanyenyekevu kama Henoko
umeishi na watu wa kila aina wenye Maombi na upako kama Musa
pia umewahi kutana na wakaidi kama Farao na watu wenye roho ngumu
Una uzoefu wa kuishi na watu wenye tabia ngumu hiyo ndiyo sifa yako
Naamini Leo ukiwa ndani yangu Bwana nitaweza kushinda maisha yote
Kaa kwangu uniongoze Mimi natamani sana kuwa kama wewe

Niwezeshe wewe Bwana wanguuuu nataka kushinda yooote

Nataka kufuata nyayo zako
nataka kufuata hatua zako
nataka kufuata upendo wako
ulioacha enzi kuja kwetu hapa
ulimpenda mwanadamu asiye na sifa
ulimpenda mwanadamu asiye na vigezo
ni upendo th uliokugharimu maisha umkomboe yeye kulipa deni lake
Droits parole : paroles officielles sous licence Lyricfind respectant le droit d'auteur.
Reproduction des paroles interdite sans autorisation.

Commentaires sur les paroles de Natamani

Nom/Pseudo
Commentaire
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - Tous droits réservés. www.paroles-musique.com
Connexion membre

Se connecter ou créer un compte...

Mot de passe oublié ?
OU
CREER COMPTE
Sélectionnez dans l'ordre suivant :
1| symbole à gauche de l'appareil photo
2| symbole en bas du casque
3| symbole à droite de la cible
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid