song lyrics / Pryshon / Usiku Na Mchana lyrics  | FRen Français

Usiku Na Mchana lyrics

Performer Pryshon

Usiku Na Mchana song lyrics by Pryshon official

Usiku Na Mchana is a song in English

Nikikuona,
Na yule mwingine,
Moyo wangu wazama,
Nabaki kushika tama,
Ninapowaza,
Tulivyopendana,
Machozi yanijaa sana,
Cha kufanya mi sina,
Milima na mabonde nimepanda,
Nikikuomba msamaha,
Sikutaraji utaniacha,
Najuta nilivyokutenda,


Penzi letu laana,
Twashinda tukizozana,
Ni kweli mnapendana,
Lakini bado nakuwaza


Usiku na mchana, mchana, mchana, mchana (aaahhh aaahhh) x2


Nyumbani kwetu wote wakuulizia (wakuulizia),
Nashindwa cha kusema, nanyamazia (nanyamazia),
Makosa yangu mimi (mimi),
Watanisema vipi (vipi),
Ulivyonidhamini (mimi),
Ulinipenda kweli,
Moyo wako kanigeuka,
Penzi lako kamalizika,
Nafasi zote ulizonipa,
Mimi zote nikapuuza,
Ohhh, najuta


Penzi letu laana,
Twashinda tukizozana,
Ni kweli mnapendana,
Lakini bado nakuwaza


Usiku na mchana, mchana, mchana, mchana (aaahh aaahhh) x2


Bado nakuwaza kila siku baby,
Bado nakutaka kila time honey,
Ingali nakupenda na si utani,
Swali ni kama utanikubali,
Bado nakuwaza kila siku baby,
Bado nakutaka kila time honey,
Ingali nakupenda na si utani,
Swali ni kama utanikubali,
Yeah yeah, utanikubali,
(Yeahhhh)


Usiku na mchana, mchana, mchana, mchana (aaahh aaahhh) x2
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Usiku Na Mchana lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the right of the bulb
2| symbol to the left of the smiley
3| symbol at the top of the house
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid