song lyrics / Guzman Teddy / Kuja Mbaya lyrics  | FRen Français

Kuja Mbaya lyrics

Performers Guzman TeddyMilitan GovanaExray TaniuaSmady Tingz

Kuja Mbaya song lyrics by Guzman Teddy official

Kuja Mbaya is a song in indeterminate language

(Hitman ting, hitman ting)
(Badman ting, badman ting)
Eh (Mbogi Genje)
Taniua, eh
Eh, ayaya
Ati, ay

Ni juu ya mzing saa hii niko ching-ching
Lugha ya kimambo hadi niko jing-jing
Nimenyanya, niko dim-dim
King king, matululu ting-ting
Ah di badman, niko ping-ping
Wesh ako futi sita, husikii juu ya dikwara
Kabla nikuchai, nikupeleke na mtara
Gwala gwala, zied, dala dala
Gala gala wote watakudara
RIP Vasco, husikii inna di rush
Moment of silence, tuwashie shash
Juzi walimuok na ati leo wamepasha

Kuja mbaya nikugeuze mboga (Mboga)
Na nimebonda vile niko mogoka (Niko)
Machingri bado zinacheza kwa mongo
Nitakucheza mbaya ukizidi kutafash (Tafash)
Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa)
Na mambogi wako mamoshi (Mambogi)
Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa)
Na mariambez wako mamoshi (Stand up for the riambez)

Luku diriba, toja imenyoa kungira (Ngira)
Alele, leo kuserekwa pira (Wako pira)
Na machaji leo tuko maondira
Makang'ethe ni manduki za mafila
Shashola ndio siezi ishi bila
Kaki-dim nakiliet na warena (Na warena)
Wakichuom nawavutia mbegega (Mbegega)
Round hii, itabidi wameteveva (Wameteveva)

Kuja mbaya nikugeuze mboga (Mboga)
Na nimebonda vile niko mogoka (Niko)
Machingri bado zinacheza kwa mongo
Nitakucheza mbaya ukizidi kutafash (Tafash)
Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa)
Na mambogi wako mamoshi (Mambogi)
Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa)
Na mariambez wako mamoshi

Mi hukamilisha, zangu mafisa (Safi)
Slippery, wanalia niko ma-grease
Niko full tank, we ongeza pace
Hii mtamase tumechaja na ni venye niko ganja
Mi ndio ndonga, ule mrui
Na mgenje guji tena sana
Kuwakaza ndio mboka kila giz-giz
Mi m-hard kaa Fuliza, we Okoa
Guz na mahedi ziko kwa kebi (Guzu)
Niko rampage za wikendi
Kaa ni box, we huzama bila expense
Alualala Lupita, usizundishie team

Kuja mbaya nikugeuze mboga (Mboga)
Na nimebonda vile niko mogoka (Niko)
Machingri bado zinacheza kwa mongo
Nitakucheza mbaya ukizidi kutafash (Tafash)
Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa)
Na mambogi wako mamoshi (Mambogi)
Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa)
Na mariambez wako mamoshi

Kwa sinting, wacha tifla na maefla
Wamemokre, kwa mashedi ni mafozi (Fozi)
Kidale, yao wabling na mandunya
Mang'oi, kuwakata na manyoi
Wafisa, kujibambisha na roko (Roko)
Ma-TBN, mi huwatekesa maombling (Ombling)
Makweng'a wakiriau magekenge
Furda, ma-ghetto yout wanasofa
Kwa Jah Jah, ried tings ni mogatha
Jaba yu ni topa tings, magekenge (Gekenge)

Uh, sina mbogi Jeri ju wote walikang'wa
Far East, morio anzenza alimangwa
Nitam-face mamu wako akini-diss
Ess wa dii hadi yeye alitii, ati
Geng geng zako, vako, beng shit
Keng keng, wakiritho, masid
Ked Ked, doba na makali
Nganya huko area ni Safari Rally
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.
Writers: Exray Taniua, Guzman Teddy, Militan Govana, Smady Tingz
Copyright: Zeer Mzika

Comments for Kuja Mbaya lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the top of the heart
2| symbol at the top of the television
3| symbol at the bottom of the padlock
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid