song lyrics / Cool Music / Dawa lyrics  | FRen Français

Dawa lyrics

Performer Cool Music

Dawa song lyrics by Cool Music official

Dawa is a song in English

Wala sikulahumu oh
Kwa tamaa ya kupenda vitu ambavyo hatunaga
Sikushutumu wewe
na hao wamechangia Maji kuyamwaga
Mchumba umegeuka mwewe
Umepaa juu mahali siwezi fikaga
Mjinga mimi sio wewe
Nimetega mtego na nimeukanyaga

Kama zipo dawa
zakufanya nikusahau nipe eeh
Ila kama hakuna nitakukumbuka
Daima mpaka nife eeh
Kipi nilifanya ndio sielewi
Hata ungeniambia
Ila sawa usijali
nayaheshimu maamuzi uliyochukua

Ila mwenzako niko hapa
niko hapa , niko hapa
Nakungojea
Usijali niko hapa
niko hapa , niko hapa
Nakungojea

Natambua kwako sikua bora
Nilijitahidi niwe sahihi
Kumbe mwenzangu unanichora
Na yote niliyofanya unaona hola
Kiatu kina fiti kwa mguu wake
Na mie moyo wangu kwako ndo pake
Una wezaje kunikimbia
Uwazi kama mwenzako nitaugua

Kama zipo dawa
zakufanya nikusahau nipe eeh
Ila kama hakuna nitakukumbuka
Daima mpaka nife eeh
Kipi nilifanya ndio sielewi
Hata ungeniambia
Ila sawa usijali
nayaheshimu maamuzi uliyochukua

Ila mwenzako niko hapa
niko hapa , niko hapa
Nakungojea
Usijali niko hapa
niko hapa , niko hapa
Nakungojea
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Dawa lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the left of the envelope
2| symbol at the bottom of the cloud
3| symbol to the right of the house
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid