paroles de chanson / Smady Tingz parole / Ngumi Mbwegze lyrics  | ENin English

Paroles de Ngumi Mbwegze

Interprètes Smady TingzMilitan GovanaGuzman Teddy

Paroles de la chanson Ngumi Mbwegze par Smady Tingz lyrics officiel

Ngumi Mbwegze est une chanson en Swahili

Smady Tings
Ah wah do dem
Ah bie baga waganis
Eh, whatcha know

Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)

Show mrazi pigwa rwai
Niko kwa warosho, najinyuria na mangwai
Si ndio Mbogi Genje, sikusicheki walai
Ikifika biz, ni warazi tunachai
Yo, sitambui bloody fucking
Niko hustling, nifike njati ya cafling
Niko jabling, nashikisha tu na wabling
Med ziko peak juu sinanga time ya idling
Yo, look safi, ni manganya nasetoka
Mawikendi, mashashola na mogoka
Mtatii Mbogi Genje ikimochoka (Mtatii)
Ati sisi ndio kunyamba ka itoka

Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)

Juu si waras, yaani tukienda bash (Ras)
Tunaseti shash, tuna-tunaseti shada (Shada)
Tunatafash mpaka wanadai ni hush (Hush)
Na si waresh wame-pin kwenye bash (Mbogi)
Juu ni makeki, ni mangeus ndio watatoa cash (Aii)
Na wakitoa cash, nazundua shash
Tunaseti hadi zitu-catch
Na zikishika sana, piga ata ngasha
Na ukitupa staple, mi ndio nitaku-catch (Catch)
Vidole zangu sticky, ni kama nitaku-pinch
Juu niko mboka, man, acha nitaku-link
Usi-tense, usiogope, nitaku-link (Oh)

Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje)

Tukimuok warazi wanabuya
Govana, wakidigi ni lagunya (Militan)
Dong'a gota nikuliet mashashola
Senke ikiriet ni kihuti
Kuwachai, kuwakata tukizied
Smady, Militan kuwabugda (Bugda)
Wakimuok, hatunauwo kusafisha (Hatunawuo)
Wakimuok, hatunauwo kusafisha

Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka kichwa ya Kenyatta kwa walenje
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje
Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje
Tunataka kichwa ya Kenyatta kwa walenje
Droits parole : paroles officielles sous licence Lyricfind respectant le droit d'auteur.
Reproduction des paroles interdite sans autorisation.
Auteurs: Guzman Teddy, Militan Govana, Smady Tingz
Copyright: Zeer Mzika

Commentaires sur les paroles de Ngumi Mbwegze

Nom/Pseudo
Commentaire
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - Tous droits réservés. www.paroles-musique.com
Connexion membre

Se connecter ou créer un compte...

Mot de passe oublié ?
OU
CREER COMPTE
Sélectionnez dans l'ordre suivant :
1| symbole à droite de la cible
2| symbole à gauche du nuage
3| symbole en bas du casque
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid