paroles de chanson / Runner parole / Nyota lyrics  | ENin English

Paroles de Nyota

Interprète Runner

Paroles de la chanson Nyota par Runner lyrics officiel

Nyota est une chanson en Anglais

Aya we Ifa janja hapa ,Aya we simela hapa

Shoga yangu
Mjini wanaringia nyota mkorogo achana nao
Shoga yangu unaweza ukajichubua mabwana usidumu nao
We kajala mjini wanaringia nyota mkorogo achana nao
We bidada unaweza ukajichubua mabwana usibaki nao

Unaweza ukawa na sura
Lakini huna bahati
Ukawa na chura
Ni nyuma safii
Ukajichubua na bwana hupatii
Na ukipata utaongwa buku wenzio lakii
Dada eeeh
Eeh kabla ya yote kwanza ebu tega sikio
Sikuhizi mjini kila dem anamakalio
Mabwana wenyewe wamejawa matamanio
We unapewa ngonjera
Matumizi wanapewa wenzio
Aaaaah

Ona wenzako wana bahati ya kupata mazari
Ya kuongwa masim magari
Huna bahati tu ya kutumika
Alafu mwisho wa siku unatupwa mbali
Muislam hautaki kuswali
Yani mungu umemtupa mbali
Unataka akupe vitu vya bei juu
Akupe vitu vya bei Kali

Shoga yangu
Mjini wanaringia nyota mkorogo achana nao
Shoga yangu unaweza ukajichubua mabwana usidumu nao
We kajala mjini wanaringia nyota mkorogo achana nao
We bidada unaweza ukajichubua mabwana usibaki nao

Aiyeyeyeyeeee
Kira ukiji boost na kuji set set
Hata huvutii wewe eeh
Kira ukijitega na kuwalenga vigogo ooh
Bado huna nyota ,huolewiii

Eti unaringia shape
Wenzako wana nyumba bongo
Unapanga apartment unalala chini Kwa godoro
Au wewe wewe
Tukupeleke kwa mwamposa
Ukaombowee
Wenda kwenu walete posa
Uolewee
Ukakae na bwana utuliee eeeeh

Ona wenzako wana bahati ya kupata mazari
Ya kuongwa masim magari
Huna bahati tu ya kutumika
Alafu mwisho wa siku unatupwa mbali
Mkristu hautaki kusali
Yani mungu umemtupa mbali
Unataka akupe vitu vya bei juu
Akupe vitu vya bei Kali

Shoga yangu
Mjini wanaringia nyota mkorogo achana nao
Shoga yangu unaweza ukajichubua mabwana usidumu nao
We kajala mjini wanaringia nyota mkorogo achana nao
We bidada unaweza ukajichubua mabwana usibaki nao

Aya dada kalio kalio kalio kalio kalio kalio kaliyooyoyo mama
Na kama unalo aaah nitingisie wowowo
Kalio kalio kalio kalio kalio yoyoyo mama
Aaah kama unalo aaah nitingisiege ngo ngi ngo

We beast
Piga misondo
Piga misondo,piga misondo ,piga misondo ndo ndo ndo
We mtoto Brk watakujua tu
wanangu wa airport sahihi hiyo
Droits parole : paroles officielles sous licence Lyricfind respectant le droit d'auteur.
Reproduction des paroles interdite sans autorisation.

Commentaires sur les paroles de Nyota

Nom/Pseudo
Commentaire
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - Tous droits réservés. www.paroles-musique.com
Connexion membre

Se connecter ou créer un compte...

Mot de passe oublié ?
OU
CREER COMPTE
Sélectionnez dans l'ordre suivant :
1| symbole à gauche du smiley
2| symbole en haut de l'horloge
3| symbole à gauche de la cible
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid