paroles de chanson / Njerae parole / Penzi Wa Kasi lyrics  | ENin English

Paroles de Penzi Wa Kasi

Interprète Njerae

Paroles de la chanson Penzi Wa Kasi par Njerae lyrics officiel

Penzi Wa Kasi est une chanson en Anglais

You're telling me this
Telling me that
Saying that you won't ever have to think twice
Ukipata nafasi
Hupotezi wakati
Saying that you won't fall back no way
And all you need to show me is just one day
Ukipata nafasi
Hivyo ushakuwa chali
Juu saa zingine tunavibe and
You know that's alright but
I know you know we've made it through so many nights
Na hiyo time inapofika
You know you're the one mi nitaita
Itika nikufikie
Bado unirudie
Penzi ni ya bure utaachwa usisinzie
Take it nice and slow
Don't got lost oh no
Kwa mwendo wa kasi
Nipe nafasi
Nikuonyeshe mapenzi wa kasi
Niko na penzi wa kasi
Kwa mwendo wa kasi
Nipe nafasi
Nikuonyeshe mapenzi wa kasi
Niko na penzi wa kasi
Na
Kinacho nichangaya
Ni nini yeye hufanyanga na
Mi bado hung'ang'ana
Juu siko ready kusema kwa heri no
Na kinacho nichangaya
Ni nini yeye hufanyanga na
Mi bado hung'ang'ana
Juu siko ready kusema kwa heri
Ooh ohh oh oh
Ooh ohh oh oh
Ooh ohh oh oh
Ooh ohh oh oh
Kwa mwendo wa kasi
Nipe nafasi
Nikuonyeshe mapenzi wa kasi
Niko na penzi wa kasi
Kwa mwendo wa kasi oh
Nipe nafasi
Nikuonyeshe mapenzi wa kasi
Niko na penzi wa kasi
Droits parole : paroles officielles sous licence Lyricfind respectant le droit d'auteur.
Reproduction des paroles interdite sans autorisation.
Auteur: Njeri Mwengi
Copyright: O/B/O DistroKid

Commentaires sur les paroles de Penzi Wa Kasi

Nom/Pseudo
Commentaire
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - Tous droits réservés. www.paroles-musique.com
Connexion membre

Se connecter ou créer un compte...

Mot de passe oublié ?
OU
CREER COMPTE
Sélectionnez dans l'ordre suivant :
1| symbole en bas de l'ampoule
2| symbole à droite du pouce en l'air
3| symbole à droite de l'horloge
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid