paroles de chanson / Boutross parole / Yengs lyrics  | ENin English

Paroles de Yengs

Interprète Boutross

Paroles de la chanson Yengs par Boutross lyrics officiel

Yengs est une chanson en Anglais

Yah yah
Eyy eyy
Waaah (yeah) yeah(eyy) yeah
Kaa zimeshika nipate na yengs( nipate na yengs)
Usiku akiwika (wah wah) nipate na yeng (haaah)
Bei nafika(bei nafika) juu niko maweng (juu niko mawaah)

( Chorus )
Nikona mayengs ( yeah yeah ) juu niko maweng
Nipate na yengs (nipate na yeng)
Nikona mayengs ( na si machura ) (yah yah) nikona mayengs
Nikona mayengs(nikona mawaah) nikona mayengs (yah)
Nikona mayengs(nikona ma ) nikona mayengs ( nikona wasupa ) (yah)
Nikona(eey) mayengs (yah)



Boutross ( Verse 1 )

Vile navuma , nabagua sura ( eyy )
Shawty ni peng cheki hiyo haga inasumbua medulla
Walitafuta nilizisunda,
Mbang”a ni mother amepagawa apewe tunda,
Shawty anapendanga chuma, Bouti anapenda zenye zimefura
Ambia huyo boy wa nacada bouti atapea huyo ngeos wake chuma
Akam nimwonyeshe streets, niimwonyeshe lovers teaching
Akam nicheze na clit, nimwonyeshe touch ya ulimi
Dem alikalia boy kwa uso boy akastop the breathing
Shida ni huyo manzi , amezibeba fiti
Shawty ni foreign , anatafuta maboy wa kayole,
Mastar vipi, peana orgasm na ndole,
Kama nawasha, Buda mambleina lazima wasonge
Bash ikiisha , chota wasupa ong’ong’o atokwe ,
Usichoke kushake mummy , nionyeshe pia wewe msanii,
Vile nadunda ( uhh ) , buda itabidi umepay mummy,
Usichoke kushake mummy, shawty anadai huzzy,
Chunga ukikam na me, ukidai kuchill na me,

Chorus
Nipate na yengs (nipate na yeng) ,
Nikona mayengs ( na si machura ) (yah yah) nikona mayengs
Nikona mayengs(yaah) , nikona mayengs (wasupa na sura)
Nikona mayengs(nikona ma ) nikona mayengs ( nikona wasupa ) (yah)
Nikona(eey) mayengs (yah)

Mastar VK ( Verse 2 )
Nikona mamanzi juu ya kipaji daily me narusha ganji,
Uko mabangi na huna kazi buda wachana na angie,
Weh ni mrazi usinishike buda nikona allergy,
Wasupa kutoka ujerumani, wote napiga ka tot ya makali,
Usiku gizani, nipate afande, undercover kwa sheets ya kejani,
Hata kama ni Monday nikona ma collo na kilo moja ya majani,
Waiter ongeza kwa sahani, nitalipa nina money
sitaruka me si nyani, Leta hata kama ni za kappa chwani
Baby love we ndio honey, nishajenga nyumba pwani,
Sitaki uniulize maswali naomba ujaze mdomo na wali.
Juu kama ni kali ni kali, na kama ni ngori ni moto,
Basi zimeni hiyo moto jamani, me ni ule fathela wa mangoto,
Huwezi nipata msoto pahali, msupa alidai ana joto,
Ati yeye huniona kwa photo, siku hizi ananiona akilala kwa ndoto.

Chorus
Nipate na yengs (nipate na yeng) ,
Nikona mayengs ( na si machura ) (yah yah) nikona mayengs
Nikona mayengs(yaah) , nikona mayengs (wasupa na sura)
Nikona mayengs(nikona ma ) nikona mayengs ( nikona wasupa ) (yah)
Nikona(eey) mayengs (yah)
Droits parole : paroles officielles sous licence Lyricfind respectant le droit d'auteur.
Reproduction des paroles interdite sans autorisation.

Commentaires sur les paroles de Yengs

Nom/Pseudo
Commentaire
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - Tous droits réservés. www.paroles-musique.com
Connexion membre

Se connecter ou créer un compte...

Mot de passe oublié ?
OU
CREER COMPTE
Sélectionnez dans l'ordre suivant :
1| symbole à droite de la poubelle
2| symbole à droite de la valise
3| symbole en haut de l'étoile
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid