paroles de chanson / Boutross parole / Wizo Man lyrics  | ENin English

Paroles de Wizo Man

Interprète Boutross

Paroles de la chanson Wizo Man par Boutross lyrics officiel

Wizo Man est une chanson en Anglais

Meno ni silver like wizo man
beef kwenye table is seezling
na deliver like the pizza
loud ina shika like chivas man
cheki Nairobi ina snow
But!
yangu haikatwi na ritalin
Check hiyo mbogi ina go
( GO! )
( GO! )
check vile mbogi ina go
( Go! )
Meno ni silver like wizo man
beef kwenye table is seezling
na deliver like the pizza
loud ina shika like chivas man
cheki Nairobi ina snow
But!
yangu haikatwi na ritalin
Check hiyo mbogi ina go ( Go )
check vile mbogi ina go ( Go )
Go!

Ushai meno ina glisten
kifua ina ma
cling cling
cling cling

Gelato ndio mimi na stink
kwa hiyo amiri
na jale ya mawinch wich

Hiyo uso umedunga ni vintage
usha try kuipaka the vaseline
hizi vibe una leta ni tricky
nyi ndio huvuta ma nyasi kwa picnic


hii ngoma ina essence ya wizkid
chibalonza na gospel ya big pin
waki ni chocha na wachukulia meeting
na wachukulia choma na whiskey

chinchilla ime nifika hadi
chin chin!
vile snow ina ni piga baridi
kuna kitu ina shine kwa hizo
teeth teeth!
hadi na shidwa kubonga fiti

Meno ni silver like wizo man
beef kwenye table is seezling
na deliver like the pizza
loud ina shika like chivas man

cheki Nairobi ina snow
But!
yangu haikatwi na ritalin
Check hiyo mbogi ina go
( GO! )
check vile mbogi ina go
(Go! )

Meno ni silver like wizo man
beef kwenye table is seezling
na deliver like the pizza
loud ina shika like chivas man

cheki Nairobi ina snow
But!
yangu haikatwi na ritalin
Check hiyo mbogi ina go
( GO! )
check vile mbogi ina go
(Go!)

Ali lilianga vitamin
saa hiyo sikuwa hata na single man
ngori ilifuata na vita man
juu mbogi ili swallow the singleton
wali nikatianga hata stima then
fuse nika rudisha kwa meter man
wana thani ma mjinga yea
sherehe hiweza katika man.
kijana amaeshikilia city ,
niku choche ati mimi si ringi
pili ina kuashia nini?
vile ulikua hizo vitu vi greedy
But!
Mbeibe alitry kunishika man
nikamwambia baby I am innocent
but vile ngeus ali ni ita tena
nili mpiga hiyo smile ya adolescence
JUU!

Meno ni silver like wizo man
beef kwenye table is seezling
na deliver like the pizza
loud ina shika like chivas man
cheki Nairobi ina snow
But!
yangu haikatwi na ritalin
Check hiyo mbogi ina go
GO!
check vile mbogi ina go
Go!
Meno ni silver like wizo man
beef kwenye table is seezling
na deliver like the pizza
loud ina shika like chivas man
cheki Nairobi ina snow
But!

yangu haikatwi na ritalin
Check hiyo mbogi ina go
GO!
check vile mbogi ina go (Go! )
Droits parole : paroles officielles sous licence Lyricfind respectant le droit d'auteur.
Reproduction des paroles interdite sans autorisation.

Commentaires sur les paroles de Wizo Man

Nom/Pseudo
Commentaire
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - Tous droits réservés. www.paroles-musique.com
Connexion membre

Se connecter ou créer un compte...

Mot de passe oublié ?
OU
CREER COMPTE
Sélectionnez dans l'ordre suivant :
1| symbole en haut du casque
2| symbole en bas de la valise
3| symbole en haut de la loupe
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid