song lyrics / Willy Paul / Mamangu lyrics  | FRen Français

Mamangu lyrics

Performer Willy Paul

Mamangu song lyrics by Willy Paul official

Mamangu is a song in Swahili

Wewe ndiwe mama tena best friend nakupenda ma
Ati wewe ndiwe mama tena best friend.
Kama vile dady aliniwacha mamy usiniwache Willy
Kama vile dady aliniwacha mamy usiniwache Willy
Usiniwache Willy

Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama

Kama vile dady aliniwacha mamy usiniwache Willy
Kama vile dady aliniwacha mamy usiniwache Willy
Ubonge na mungu akuruhusu ubaki nami mama
Kama ukishindwa tuma malaika tubonge naye Jalali
Kama ukishindwa tuma malaika tubonge naye Jalali

Uliniaidi ukingojeka utapona
Uliniaidi ukiondoka mama utarudi
Uliniaidi utakuwa nami mpaka mwisho.

Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama

Shida kwa wingi umepitia mama wange.
Tatizo ni mingi umepitia mama wange
Lakini umeyashinda umeyashinda we mama wange
Lakini umeyashinda umeyashinda we mama wange

Wewe ndo wangu mama wange
Mimi ndo wako mwana wako
Wewe ndo wangu mama wange

Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama

Oooh ooh ni kwako mama
Ni kwako mama ni kwako mama ni kwako mamaa
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Mamangu lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the top of magnifying glass
2| symbol at the top of the camera
3| symbol to the left of the heart
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid