song lyrics / Madee / Hadithi 2060 lyrics  | FRen Français

Hadithi 2060 lyrics

Performers MadeeChonge

Hadithi 2060 song lyrics by Madee official

Hadithi 2060 is a song in indeterminate language

Star from Mazoze Music Baby
Welcome to Dar es Salaam
It’s Madee yoh yeah

Mbili zero moja tano ulikuwa mwaka mzuri
Tukamchagua John Pombe Magufuli
Alifanya mazuri hako na sifa ka maduli
Alipiga vinduli wa madaraka kama nduli
Alipinga kuamka na hangover
Alichukia foleni za stopover
Akaanza Tazara kujenga ma treni over
Hey nigga huyu ndo over
Ulipo popote wana tunakupa tano
Na ikumbukwe ile ni awamu ya tano
Ilikuwa poa haijawahi kuboa
Na kama ulikosoa we mwenzetu ndo una doa
Ina maana haujawahi kupita pugu
Sawa haupandi wewe ina maana hauna ndugu
Baba ujugu
Wacha gubu
Njoo uone Manzese viberiti kama njugu

Hadithi hadithi hadithi (Tuhadithie)
Hadithi hadithi hadithi (Tuhadithie)
Hadithi yeah hadithi hadithi (Zile za kale)
Hadithi yeah hadithi hadithi (Za hapa kule na pale tuhadithie)

Tulipendaga sera zake kipindi anatuongoza
Asiyefanya kazi basi asile na ataoza
Mabulldozer walomchokoza
Hawana kuta nzuri zaidi ya jela walioza
Aliitwa nani muite Pombe Magufuli
Mpenda amani tena maskini jeuri
Kazaliwa Chato mji mzuri kama Napoli
Na ukitaka sato sangara pia wapo
Mpenda amani rais wa wanyonge ah
Tena zamani walisoma bure kina chonge
Sikulipa fee mpaka namaliza chuo
Niliitwa Madee na nina hela wakati huo
Dunia ilimsifu wanamziki walimsifu
Walimvika mataji ya kimila na kichifu
Huyo ndo rais wetu zile wakati huo
Haya wote mkalale kesho si mnakwenda chuo

Hadithi hadithi hadithi (Tuhadithie)
Hadithi hadithi hadithi (Tuhadithie)
Hadithi yeah hadithi hadithi (Zile za kale)
Hadithi yeah hadithi hadithi (Za hapa kule na pale tuhadithie)

Hata wizara zake kamwe hazikulala
Aweso wa maji utalii kigwe gwala
Alikuwa ni mwenyekiti wa CC na M
Alitufanya na sisi tupende kila sehemu
Alikuwa ni mwana kwetu
Yeye kiongozi kwetu
Alikuwa ni mchizi wetu
Na alikuwa ni baba yetu
Huyu ni mwamba Magu kutoka Chato
Alikuwa ndo rais bora
Ukipinga shauri yako

Hadithi hadithi hadithi (Tuhadithie)
Hadithi hadithi hadithi (Tuhadithie)
Hadithi yeah hadithi hadithi (Zile za kale)
Hadithi yeah hadithi hadithi (Za hapa kule na pale tuhadithie)

Tuhadithie
Tuhadithie
Tuhadithie
Tuhadithie
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.
Writer: Hamadi Ally

Comments for Hadithi 2060 lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the left of the heart
2| symbol at the bottom of the trash
3| symbol to the left of the helmet
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid