song lyrics / Krg The Don / Unashida Gani? lyrics  | FRen Français

Unashida Gani? lyrics

Performers Krg The DonDarassa

Unashida Gani? song lyrics by Krg The Don official

Unashida Gani? is a song in Swahili

Touch (Touch)


Una shida gani

Una shida gani

Una shida gani


Unapiga simu huongei,

Una shida gani


Ukipigiwa Hupokei

Mwenzetu Una shida gani


Naona umenitext mbona umefuta message


Una shida gani


Good morning jirani salamu kitu cha bure


Una shida gani


Unadanganya watu unatoka na Vicky, wee

Hutaacha lini mambo ya kiki,


Hata kwenye ugomvi unakuwa shabiki,

Haubadi.....liki, hauambi...liki



Una shida gani


Naskia walishatoa na posa

Na za chinichini unapanga kumtosa

Kila kukicha unalia na mwamposa na unajua anawapanga kwenye dosa


Mwenzetu una shida gani

Una shida gani

Una shida gani



Plan A B na C (plan A B na C)

Jina Krg (jina Krg)

You’re the one who hate me

Mi hata sikufikiri wala sikufatili

Am to pm umekaa kaa

Kula kulala kujamba ja nja

Kesho unalialia njaa kwa mitaa we jamaa na jana ulikesha bar

(Skia)

All I need is 1 mic Ziggy Dee

Naongea na wakenya waniski

Naongea na serikali uchumi ni zii

Kwenye nchi hii (eh)

kunashida gani

Haya maisha hayataki utani

Haya maisha yanataka ramani

Vipi? Unachoma majani,unasoma gaziti gani

Mbona hautoki msalani huko ndani?

Kunashida Gani?





Unapiga simu huongei,

Una shida gani

Ukipigiwa Hupokei

Mwenzetu Una shida gani

Naona umenitext mbona umefuta message

Una shida gani

Good morning jirani salamu kitu cha bure

Una shida gani



Ntakuja kuua jitu siku mtaskia

Unatabia tabia ngumu kuvumilia

Indicator kushoto unakata kulia

Kua makini sana weka macho kwenye njia

Na njie wenye majipu mkae kwa kutulia

Doctor nakuja na majibu kuwahudumia

Ukitaka viboko nakucharazia

Ukileta utoto nakukanyagia eh!

Mbona kichwa kimepinda pinda unashida gani?

Mbona mambo ya kijinga jinga unashida gani?


Plan A B na C
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Unashida Gani? lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the bottom of the heart
2| symbol to the right of the bulb
3| symbol to the left of the camera
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid